Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

It's stupid to blame the coach. This wasn't a tactical defeat. Our players didn't show half of what was supposed to do

Midfield ilikufa tokea mwanzo wa mchezo, na ndio pia walikua wanashindwa kupeleka mipira kwa ma forward. Timu kama Real Madrid huwezi cheza na timu kama Eibar halafu mukawa Ball position 50 50. Weakness kubwa ya Solari mechi zote mpaka saivi anashindwa kumiliki mpira kikamilifu kweye midfield. Hilo ni tatizo kwa timu kama Real hasa wanapokuwa wanacheza na timu ndogo. hata mechi ya Celta walitawalwa sana kati.
 
Watani msubiri saa nne usiku muone jinsi mdogo wenu Atletico anavyo nyooshwa na wakatalunya
 
Nilijua haya yanakuja. Solari si kocha mzuri kabisa, na niliwashangaa Real kumpa mkataba mkubwa. Alau wangelimuacha amalize msimu. Timu inakua chini sana anashindwa kuchezea mpira kabisa.
Na pi bado nashindwa kufahama why Bal anaendelea kuwa anachezeshwa.
Timu tumpe nani kwa utaalamu wako
 
Unamfananisha Dembele na Bale? Isco? Asensio? Duh bora nikuache tu mkuu.

Weka mahaba ya timu ukibakisha mahaba ya soka, Bale wa leo hii anamfikia vipi kiwango Ousmane Dembele? Asensio huyo mliyempigia promo na uwezo mdogo, au chenga za showoff ambazo hazina tija labda popularity Youtube? Asensio na Mane leo hii nani anakiwango kama wewe ni mkweli?

Isco huyu huyu anaecheza mpira wa usumbufu usio na madhara kwa timu pinzani ndio amzidi Dembele?
 
Mkuu vipi naona umetoka kwa Dembele umekuja kwa Mane?
Na Habri zilizokuepo ni kuwa barca wanajiandaa kumpiga bei Dembele wameshajishtukia kama waliingizwa mkenge, wanataka kupunguza hasara.
 
Timu tumpe nani kwa utaalamu wako

Micheal Laudrup
Simone Inzaghi
Di francisco
Marcello Galardo

Hao ndio makocha wenye uwezo na ambao upatikanaji wao hautokua na shida yoyote. Wapo na wengine ila kiharaharaka ningumu kuwachomoa kirahisi kwenye timu zao.
 
Mkuu vipi naona umetoka kwa Dembele umekuja kwa Mane?
Na Habri zilizokuepo ni kuwa barca wanajiandaa kumpiga bei Dembele wameshajishtukia kama waliingizwa mkenge, wanataka kupunguza hasara.

Atauzwa pauni milioni ngapi?

Bale majeruhi yalisha ua uwezo wake mkubwa wa kisoka nikikumbukia kazi aliyokua anaifanya kipindi anachezea Tottenham.

Marco Asensio ni propaganda tu za wahispaniola uwezo wake ni mdogo wahispaniola waliobaki ambao wanaujua kweli mpira ni Koke na Saul Niguez ukimuondoa Ramos na Carvajal wahispaniola wanaopata namba leo hii pale Real Madrid ni siasa tu.Cheki wahispaniola hawa wa Barca kama Jordi Alba, Busquets, Sergi Roberto na Nelson Semedo
 
Semedo=Portugal
 
Benzema ni anakiwango kikubwa Jiroud akasome sana tena. chuki tu ndo sababu haitwi huko taifa
 
Back
Top Bottom