Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vinícius Júnior in his first official start for Real Madrid

8 key passes
2 big chances created
2 assists

Craque! 😍🔥

45121093_1277502699068455_3987708694308585472_n.jpg
 
Real Madrid were comfortable 4-0 winners over Melilla on Wednesday in Santiago Solari's first match as interim head coach.

Goals from Karim Benzema, Marco Asensio, Alvaro Odriozola and Cristo Gonzalez gave the European champions a Copa del Rey first-leg victory that sets them firmly on course for the last 16.

Solari, placed in temporary charge following Julen Lopetegui's sacking on Monday, named a youthful side in the Spanish city in north Africa that included Vinicius Junior.

And it was two of the more established first-team stars that helped secure the win – just Madrid's second in eight matches in all competitions – and restored some sense of calm to a club thrown into turmoil in the aftermath of Sunday's 5-1 Clasico hammering at Camp Nou.
 
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez ameonekana kushikilia mpango wa kumsajili supastaa wa Chelsea, Eden Hazard hivyo ameamua kumchunia kocha, Antonio Conte.

Kulikuwa na hofu kama Real Madrid wataamua kumchukua kocha, Conte kwennda kurithi mikoba ya Julen Lopetegui, basi jambo hilo linaweza kutibua kwenye mipango yao ya kumchukua Hazard.

Hazard na Conte wameripotiwa kuingia kwenye uhusiano mbaya mwishoni mwa msimu uliopita ambapo staa huyo alicheza chini ya kiwango na hivi karibuni alionenkana kusifu mipango ya kocha mpya huko Chelsea, Maurizio Sarri na kuponda ya mtangulizi wake. Kutokana na hilo, Florentino ameamua kumfungia milango Conte ili kuweka hai mipango ya kumchukua Hazard.

Mpango wa Real Madrid ni kumchukua Hazard kwenye dirisha la Januari na hilo lipo wazi, hivyo Conte acha aende kwingineko,” ilibainisha taarifa juu ya suala hilo.

Kwa sasa, Los Blancos ipo chini ya kocha Santiago Solari, akiwa kocha wa mpito baada ya Lopetegui kufunguliwa mlango wa kutokea kufuatia kipigo cha mabao 5-1 kutoka kwa Barcelona.
achana nae uyo mkuu utajisumbua tu. hao ndio wanaotaka waone kanunuliwa Neymar kwa 300m wala hawajui wapi zinatoka.
 
Hata hazard mdogo kumbe!naona Perez hajamkatia tamaa. Msiwe mnaongea msivyo elewa. Timu kubwa kupata kipaji ulichokilea ngumu sana barca wana bahati na Messi tu
Bei ni kubwa dirisha lirakuwepo sana tu ila, angalia timu nyingi zinaangalia zaidi wachezaji wadogo
 
Hata hazard mdogo kumbe!naona Perez hajamkatia tamaa. Msiwe mnaongea msivyo elewa. Timu kubwa kupata kipaji ulichokilea ngumu sana barca wana bahati na Messi tu
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwania
 
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez ameonekana kushikilia mpango wa kumsajili supastaa wa Chelsea, Eden Hazard hivyo ameamua kumchunia kocha, Antonio Conte.

Kulikuwa na hofu kama Real Madrid wataamua kumchukua kocha, Conte kwennda kurithi mikoba ya Julen Lopetegui, basi jambo hilo linaweza kutibua kwenye mipango yao ya kumchukua Hazard.

Hazard na Conte wameripotiwa kuingia kwenye uhusiano mbaya mwishoni mwa msimu uliopita ambapo staa huyo alicheza chini ya kiwango na hivi karibuni alionenkana kusifu mipango ya kocha mpya huko Chelsea, Maurizio Sarri na kuponda ya mtangulizi wake. Kutokana na hilo, Florentino ameamua kumfungia milango Conte ili kuweka hai mipango ya kumchukua Hazard.

Mpango wa Real Madrid ni kumchukua Hazard kwenye dirisha la Januari na hilo lipo wazi, hivyo Conte acha aende kwingineko,” ilibainisha taarifa juu ya suala hilo.

Kwa sasa, Los Blancos ipo chini ya kocha Santiago Solari, akiwa kocha wa mpito baada ya Lopetegui kufunguliwa mlango wa kutokea kufuatia kipigo cha mabao 5-1 kutoka kwa Barcelona.

Acha kukariri taarifa uchwara. Chelsea hawawezi muachia hazard kabisa kwenye Dirisha Dogo.
Na Conte Real tatizo lao lipo kwanza kwenye mshahara, Lapili Conte anataka madaraka ndani ya timu ikiwemo kuwa yeye ndio full controller wa Dressing asiingilewe, pamoja na kuwa sauti kwenye Usajili wa timu. Hapo ndipo wanapokosana.
 
Conte anataka utawala kama walionao makocha wa EPL kwa Madrid hawezi kupewa alishindwa Mournho aje awe yeye. Mchezaji ambaye tunatakiwa kuuza ni Bale yeye kama Star wa timu ameshindwa kabisa kuisaidia timu, anacheza kawaida sana
 
Neymar hata kabla ya WC Perez alikua anasita kumchukua maana hana kiwango kikubwa kivile. Pamoja na kukuza vipaji bado usajili muhimu kipindi hiki na madrid haiwez epuka style ya usajili ghali kama ilivyozoeleka.
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwania
 
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwania

Mkuu hawa wanachukilia Mpira ulaya kama game ya Xbox tu, Changamoto zake hawazijui kabisa. Ndio hawa waliokua wakipiga kelele kama Juventus pesa waliomnunulia Ronaldo ishalipa baada ya kuona mauzo ya Jezi yake yamefika karibu million 75 kumbe hawajui kama Zile pesa zote wanapata Kampuni inayotengeneza jezi Juventus wenyewe waliambulia milion 6 tu.
 
Neymar hata kabla ya WC Perez alikua anasita kumchukua maana hana kiwango kikubwa kivile. Pamoja na kukuza vipaji bado usajili muhimu kipindi hiki na madrid haiwez epuka style ya usajili ghali kama ilivyozoeleka.

Mda umebadilika huwezi kurupuka tu kajisajilia kama zamani wachezaji wamekua ghali sana, Unaweza ukijikuta miaka mitatu timu imejaa madeni kama hamjawa makini.
 
Hata kama na madrid wakimchukua conte hazard hawez kubali cheza hapo ni sawa na kwenda kuua kipaji alichonacho. Mchezaji na kocha kuwa na bifu hatari kwa afya ya ushindi wa timu.

Moja ya kilichomshinda zidane ni kutawaliwa,kupangiwa kila kitu na pia conte akipatiwa kibarua madrid,chelsea wanapata share yao hapo maana bado wana mkataba nae hivyo kuna sababu nyingi zaid ya hizo ulizozitaja.

Na hizi taarfa uchwara unazoziponda hapa zikija uzipendazo unaona ni taarifa halisi. Uwe unakubaliana na vyote
Acha kukariri taarifa uchwara. Chelsea hawawezi muachia hazard kabisa kwenye Dirisha Dogo.
Na Conte Real tatizo lao lipo kwanza kwenye mshahara, Lapili Conte anataka madaraka ndani ya timu ikiwemo kuwa yeye ndio full controller wa Dressing asiingilewe, pamoja na kuwa sauti kwenye Usajili wa timu. Hapo ndipo wanapokosana.
 
Neymar hata kabla ya WC Perez alikua anasita kumchukua maana hana kiwango kikubwa kivile. Pamoja na kukuza vipaji bado usajili muhimu kipindi hiki na madrid haiwez epuka style ya usajili ghali kama ilivyozoeleka.
Neymar tatizo lake ni kujiangusha na kupenda kukaa sana na mpira, target katika goli hana sana, anataka sana kumuiga Messi anavyomiliki mpira ndo tatizo hapo. Hazard ni timu player ila kibiashara halipi sana, Timu za Spain zinapata mauzo mazuri kwa wachezaji wa America, ukiondoa CR7 na Beckham, ulaya haijaweza kuwa na wachezaji wa kuteka soko
 
Daah Ronaldo again aiseee wewe mtu huyu G.O.A.T unamuadmire sana
Mkuu hawa wanachukilia Mpira ulaya kama game ya Xbox tu, Changamoto zake hawazijui kabisa. Ndio hawa waliokua wakipiga kelele kama Juventus pesa waliomnunulia Ronaldo ishalipa baada ya kuona mauzo ya Jezi yake yamefika karibu million 75 kumbe hawajui kama Zile pesa zote wanapata Kampuni inayotengeneza jezi Juventus wenyewe waliambulia milion 6 tu.
 
Conte anataka utawala kama walionao makocha wa EPL kwa Madrid hawezi kupewa alishindwa Mournho aje awe yeye. Mchezaji ambaye tunatakiwa kuuza ni Bale yeye kama Star wa timu ameshindwa kabisa kuisaidia timu, anacheza kawaida sana

Laudrup nae ameikataa timu. Walitaka wampe mpaka mwisho wa msimu. Namuunga mkono, Self respect ni Muhimu. Kwanini wasimpe mkataba mkubwa kabisa ila kama hawamuamini vizuri nayeye kakataa. Jamaa anuelewa mpira vizuri kabisa.
 
Mkuu hawa wanachukilia Mpira ulaya kama game ya Xbox tu, Changamoto zake hawazijui kabisa. Ndio hawa waliokua wakipiga kelele kama Juventus pesa waliomnunulia Ronaldo ishalipa baada ya kuona mauzo ya Jezi yake yamefika karibu million 75 kumbe hawajui kama Zile pesa zote wanapata Kampuni inayotengeneza jezi Juventus wenyewe waliambulia milion 6 tu.
Ulaya mpira ni biashara unaweza ukawa na jina kubwa na uncheza vizuri lakini kibiashara haulipi na ndo maana wachezaji wengi wa Afrika mishahara yao huwa siyo mikubwa ingawa wanafanya mambo mazuri uwanjan
 
Hii kauli hope uliitoa walipokurupuka kumsajili james kisa alitamba sana WC ile. Nadhani ndo sababu ya mbappe kutopewa kipaumbele madrid wanamsoma kwanza
Mda umebadilika huwezi kurupuka tu kajisajilia kama zamani wachezaji wamekua ghali sana, Unaweza ukijikuta miaka mitatu timu imejaa madeni kama hamjawa makini.
 
Laudrup nae ameikataa timu. Walitaka wampe mpaka mwisho wa msimu. Namuunga mkono, Self respect ni Muhimu. Kwanini wasimpe mkataba mkubwa kabisa ila kama hawamuamini vizuri nayeye kakataa. Jamaa anuelewa mpira vizuri kabisa.
Watampa Solar ili kuepuka kupigwa faini na Laliga
 
Bale angeweza ila sasa jamaa ni kama chombo cha udongo ukikosea kukishika tu pwaa chini,sijui kwann mwepesi wa kuumia. Ulaya vipaji vipo tatizo wanacheza na media wanasahau kazi uwanjani

Back
Top Bottom