Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bale angeweza ila sasa jamaa ni kama chombo cha udongo ukikosea kukishika tu pwaa chini,sijui kwann mwepesi wa kuumia. Ulaya vipaji vipo tatizo wanacheza na media wanasahau kazi uwanjani
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuri
 
Hii kauli hope uliitoa walipokurupuka kumsajili james kisa alitamba sana WC ile. Nadhani ndo sababu ya mbappe kutopewa kipaumbele madrid wanamsoma kwanza

Sio james tu, Kuna beki ya kushoto anaitwa Theo wametumia 20m wamerambwa washmtoa kwa mkopo, Kuna
Asier Illarramendi walipigwa zaidi ya 30 na kitu, Msimu huu wametumia zaidi ya 130 kwa usajili ambayo weye bado unaona hawajatumia.
 
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuri

Na kuwa ma staa wa kihispania timu itabustika sana kibiashara ndani ya Spain.
 
Mbona taarifa zinasema kisa hasa ni bale na kwamba zidane alitaka mpiga bei ila Perez hakupenda jambo hilo.
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuri
 
Ndicho kinachomsumbua Perez, anataka star wa kihispaniola tatizo vijana hawajitumi kabisa, nazani starehe zimewazidia

Huwezi kusema hawajui mkuu, Spain wamkua ndio taifa bora kwa vipaji kwa mdamrefu, Ila tatizo mpira Ulaya ili uwe Star uwe ni Striker, Na Hilo ni tatizo kwa Spain Toka aondoke Villa wameshindwa kupata great Striker. Ila binafsi naamini Assecio anahitaji mda tu jamaa yupo vizuri, Ila Real nayo wanakosa uvumilivu kabisa.
 
Yeah hawajatumia bali walicheza biko na tatu mzuka wakaliwa.
Sio james tu, Kuna beki ya kushoto anaitwa Theo wametumia 20m wamerambwa washmtoa kwa mkopo, Kuna
Asier Illarramendi walipigwa zaidi ya 30 na kitu, Msimu huu wametumia zaidi ya 130 kwa usajili ambayo weye bado unaona hawajatumia.
 
Mbona taarifa zinasema kisa hasa ni bale na kwamba zidane alitaka mpiga bei ila Perez hakupenda jambo hilo.

Perez analazimisha lazima awe na Super Star wakiengereza kwenye timu kwa ajili ya kubost Biashara ndani U.K hilo pia nalo ni tatizo. Lakini ndio biashara.
 
Kumbe unaziamini fununu,natumaini pia utaamini za mou kurudishwa madrid
Binafsi sifikirii Solari kama ni mtu sahihi, Bora hata Guti. Nimeona fununu saivi zinazunguka kwa kocha wa Valecia.
 
Tabia hio ndio inayowaogopesha wachezaji wengi mastaa. Presha sana kucheza uwanjani na nje ya uwanja
Perez analazimisha lazima awe na Super Star wakiengereza kwenye timu kwa ajili ya kubost Biashara ndani U.K hilo pia nalo ni tatizo. Lakini ndio biashara.
 
Naziamini fununu asilimia 85% za ukweli ila wahusika huwa wanazipindisha na zinakuja onekana za uongo
Siamini fununu, Ila mambo huanza na fununu. Sio kila fununu ni yakweli infact karibu 75% ni zauwongo.
 
Naziamini fununu asilimia 85% za ukweli ila wahusika huwa wanazipindisha na zinakuja onekana za uongo

Fununu hotoka kwenye magezati na mitandao ambao wao wapo kwenye kutafuta wateja wa magazeti yao. Hivi wewe anaamini kabisa kama Wenger ametakiwa kweli na Man Utd? Ac Milan? Real Madrid? Buyern Minich? wote hao katika kipindi cha miezi miwili habari zake zilizagaa.
 
Kwenye soka kila jambo linawezekana,cheki mou kila anapoenda anaharibu ila bado timu zinamsaka hivyo hata kwa wenger inawezekana tu

Media ina nafasi kubwa kwenye mfumo wa maisha ya watu kila sehemu na hasa ulaya. Propaganda na uwongo wote huzambazwa kwa kupitia media. Mourinho ni Star, Na media ndizo zilizompaisha kwaiyo as long as bado anakubalika na media ataendelea kupata kazi.
 
Nisingependa Mou arudi tena RMA atakuja kutuvuruga huyu mzee hua ana tabia ya ajabu sana ni bora Sorali aendelee tu lkn cio huyo mchonganyishi
 
Mark my words. Mou akirudi anabomoa kikosi kizima, haogopagi kutumia pesa kama wakina Zidane, pia tegemea defence line mpya kabisa kwasababu alikuwa hamchezeshi Marcelo kwa vile system yake ni ku-park bus na yule jamaa na Ramos haziivi kabisa. Labda kitu positive atakachofanya ni kumuuza Benzema na yule mwenzake.
Kwa sasa Mendez huko aliko anaombea hii timu apewe Mourinho maana ndio itakuwa kipindi chake cha kupiga pesa kutoka kwa Perez.
 
Back
Top Bottom