Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #39,561
Melilla getting into dangerous positions
Huyu kijana atatusaidia sana kwa kweli kama akitumika inavyotakiwa, anajitajid sana, ukiwa na kijana kama huyu kwenye wing hata beki hatodhubutu kupanda, sababu akipata mpira tu upande wa pili wanaliaVinicius Jr with the rabona cross. Having fun out there.
Nilitamani sana kama Dogo angefunga hilo goli angehitimisha kazi nzuri sana aliyoifanya kwenye hii game, hope atapata goli next game.., #HalaMadridVinicius Jr hits the bar! So close! Get this kid a goal! He deserves it!