eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Wakuu nawasalimu
Yule solari ni bora akawa kocha mkuu kabisa
Yule solari ni bora akawa kocha mkuu kabisa
Ulaya timu huwa zinaangalia sana future na soko lilivyo ndo maana nimekwambia kwa bei ya sasa wachezaji wako ghali sana haswa mastraika hafu ni wakawaida. Nachokiona mm ni kuridhika kwa wachezaji
Wakuu nawasalimu
Yule solari ni bora akawa kocha mkuu kabisa
Huyu hana tofauti na zidaneUmeona nini mpaka saivi hata ukayasema hayo
Huyu hana tofauti na zidane
Anaijua falsafa ya real Madrid vizuri
This kid is super talentedVinicius Jr is starting his first match for Real Madrid!
![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani mgonjwa mahututi kapata nafuu naona muuguzi anaelekea ICU sasa kazi ipo safari hii.