Mark my words. Mou akirudi anabomoa kikosi kizima, haogopagi kutumia pesa kama wakina Zidane, pia tegemea defence line mpya kabisa kwasababu alikuwa hamchezeshi Marcelo kwa vile system yake ni ku-park bus na yule jamaa na Ramos haziivi kabisa. Labda kitu positive atakachofanya ni kumuuza Benzema na yule mwenzake.
Kwa sasa Mendez huko aliko anaombea hii timu apewe Mourinho maana ndio itakuwa kipindi chake cha kupiga pesa kutoka kwa Perez.
Real hawewezi mrjesha mou kwa sasa. Na kumuuza Benzema unahisi positive? Ramos, Varane, Bale ndio watu wa mwanzo wanaotakiwa kuondoshwa mana hao ndio mzigo mikuu kwenye timu.
Huyu jamaa sio madridista kila post yake utumbo tuRamos na Varene? Dude you're out of your mind.
Uyo jamaa hua nusu saa ya mshareRamos na Varene? Dude you're out of your mind.
Ramos na Varene? Dude you're out of your mind.
Huyu jamaa sio madridista kila post yake utumbo tu