Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

MKUU MBONA UNADIVERGE KWENYE HOJA ZAKO ULIZOKUWA UNAJIBIZANA NA WATU HUMU JUKWAANI...NASHANGAA UNAMUINGIZA VIPI RONALDO WAKATI WEWE WATU WAKIONGELEA MAPUNGUFU YANAYOONEKANA WAZI KWENYE TIMU WEWE ULIKUWA UNAWALIPUKIA NA CHA AJABU KADRI SIKU ZINAVYOENDA YANAZIDI KUJIDHIIRISHA , OK!...STOP ATTACKING OTHER FANS AND NO NEED TO FIGHT EACH OTHER AS LONG AS BOTH WE'RE MADRID FANS BUT FIRST YOU MUST ACCEPT THAT REAL HAS A PROBLEM AND OBVIOUSLY NOT GOING IN OUR WAYS WE USE TO OPERATE...RIGHT?

Ninachopinga mimi ni kuaminishana kama matatizo ya Real Madrid yanatokana na kukosekana kwa Ronaldo. Sikama napinga kama timu haina matatizo. Na kama utafitilia uzi vizuri hio ndio hoja yao Mafanboys wa CR7.

Real ina matatizo mengi na hayajaanzia leo. Timu imkua ikiborongo kwa mda sasa hivi ndani ya ligi, na tatizo linafichika kutokana na mafanikio yanayopatikana ulaya.
Timu ina serious problem ya defenders, Na ndio tatizo kuu linalowatafuna msimu huu. Mabao walipigwa 4 kwa atletico, 5 barca, 3 sevilla sikidogo kabisa. na timu yoyote inayoruhusu vipigo kama hivo hapana dalili ya Ubingwa. Mana Mpira jambo lamwanzo Defense. Pitia timu zote zinazo fanikiwa na kutoa mataji ligi yoyote Ulaya jambo la mwanzo utakuta magoli kidogo sana wanafungwa ukilinganisha na wengine. Sasa wadau humu ndani wao akili zao zipo kwenye Ronaldo utafikiria yeye ndie anaekoa magoli kule nyuma. Mechi zote walizofungwa Real Madrid wameruhusu magoli mapema sana ndani mechi. CSK Moscow wametia goli dakika ya pili. Lavente ndani ya dakika 15 za mwanzo walishatia magoli mawili. Sevilla ndani ya 25m walikua na mawili. Barce na hivohivo wametia mbili mapema sana. Sasa wadau humu wanashindwa kabisa kuiona main basic problem ya timu. nafkiri unafaham kabisa vipi magoli ya mapema yanavobadilisha program nzima ya mechi.
Varane garasa, Marcello ni mzuri kwa kushambulia lakini defending very very Poor, Ramos ameshachoka. Na kubwa zaidi ni Kocha mpya amekuja kwenye timu na mfumo mpya ambao ni tafauti mfumo Zidane wakukaba zaidi amabo ulikua ukiisaidia kuilinda defense. Sas imkua inakuaexposed kirahisi kabisa.
Wao wameelekeza majungu kwa Benzema. Benzema ana 6 goals msimuu huu mpaka saivi, Ronaldo 7, Aguero 6, Salah 7, Hazard 8, Cavani 5, Lewandoski 6, Higuain 6, Suarez 7, Kane 6, icardi 5, ukimuondoa Messi karibu Mastriker wote wakubwa wa ulaya wana range ya magoli inayofanana kabisa. Sasa wao sijui walitaka awe kashafunga magoli 20 saivi, Au labda watwambie uyo striker ambaye angekua kashafunga goli 15 nani. Huyo Ronaldo msimu uliopita kama saivi alikua ndio kwanza ana goli 4.

Tatizo kubwa la Real Madrid ni kocha, na si kama kocha ni mbaya tatizo mfumo wake bado umeshindwa kufanyakazi vizuri mpaka sasa. Timu instragle kucreate nafasi za wazi, Napia kwenye defending ni majanga. Mchezaji kama Casemrio ameshindwa kabisa kuuadopt mfumo wa kocha mpaka sasa, Nandio moja tatizo kubwa linapoanzia kuishambuliaji na defending. Naamini wakimpa muda timu itakaa sawa, Lakini sifikirii kama atupata huo mda, Kocha yoyote ataekuja itambidi aje auendeleze mfumo wa Zidane ndio timu inaweza kubadilika kwa haraka.

KIUFUPI KUBORONGA KWA REAL KUNATOKANA NA UBADILISHWAJI WA KOCHA.
 
ila mkuu mie niseme tu...huyu kocha alikuja na style nzuri sana tu ya uchezaji na timu ilikuwa inacheza mpira mzuri wa kupass na kupress vizuri hasa eneo la kiungo...ishu iliyomuangusha huyu jamaa ni 1. kutumia wachezaji walewale aliowakuta wakicheza kwa misimu mitatu mfululizo{kitu ambacho ata zidane alikigundua na kukiepuka fasta...infact bwana perezi alilitambua hilo na hakuwa tayari kuleta wachezaji wapya ili kuamsha ile morale ya timu}, kwa hivyo ni ukweli ulio wazi kuwa real inahitaji kusajili hasa forward line na back wa kati ata mmoja tu(wakuwasaidia ramos na varane) ili kuamsha morale ya timu kwa maana licha yakuwa forward zetu ni butu lakini unaona kabisa timu imekosa push/fighting spirit/driving character tuliyokuwa nayo awali kwa maana niwe muwazi KAMA TUNGEKUWA NA MORALE NA FORWARD MAKINI PALE MBELE KAMA ICARDI IN THE START OF SECOND HALF BARCA WALINYWEA KWAHIYO ILIBIDI SISI TUTUMIE ILE MOMENT TO DRIVE BACK THE SITUATION...CHA AJABU YULE NDUGU YETU BENZEMA KAKOSA CHANCES ZA WAZI KABISA NA TEAM ILIPOTEZA MORALE NA KUTOKANA NA HILO KADRI TEAM ILIPOKUWA IKIRUHUSU MAGOLI NDIPO DEFENCE NZIMA IKATEPETA...KWA UPANDE WA KIPA SINA SHAKA NAE JAMAA KAJITAHIDI ILA DEFENCE YAKE ILIMUANGUSHA, But I hope perez atayaweka sawa siku chache zijazo likiwepo ilo la usajili ili tuweze kurudi kwenye winning track yetu maana haiwezekani mechi tano mfululizo za ligi hatuna ushindi.

Mkuu Varane hahitaji msaidizi. Anahitaji kuondoshwa kabisa.
Na Casemiro na Bale wamekua ndio tatizo jengine kubwa la timu . Bale alikua aondoshwe tu safari hii sijui nini kiliwafanya wamuache. Casemiro mfumo wa kocha unampatabu sana, jamaa amezoea mpira wa nguvu na kocha kaja na mfumo wa aina nyengine kabisa. Na kwa mujibu wa mfumo wa kocha Position yake inahitaji mtu makini na nafasi muhimu sana kimashambulizi na hata defending. Tizama Besquit barca na Jorginho Chelsea.
 
Kimenuka
Dqs3vOQWoAIiA0l.jpg
 
Kumbe kama bongo tu ukifungwa na simba au yanga pindi wakutanapo kibarua huna
Imenikumbusha maximo hii
 
Real Madrid wrote this on their official website:

The Real Madrid C.F. board of directors, which met today, 29 October 2018, has made the decision to terminate Julen Lopetegui's contract as the club's coach.

This decision, which was taken with the utmost responsibility, seeks to bring about a turnaround in the first-team's fortunes at a time when all of this season's targets are still achievable.

The board considers there to be a large disparity between the quality within the Real Madrid squad, which boasts eight nominees for the next Ballon d'Or award - an unprecedented number in the club's history - and the team's results to date.

The club places on record its thanks to Julen Lopetegui and all of his coaching staff for their efforts and work and wishes them all the best in their future careers.

Santiago Solari will take temporary charge of the team, assuming his role as first-team coach from tomorrow, Tuesday.

nYitBAnx
 
There are several conflicting reports about 'Antonio Conte to Madrid'
1. Real Madrid are not willing to accept Conte's salary demands and that's why the deal might not happen
2. Conte wants to get his 10million from Chelsea before he signs with Madrid. Chelsea don't want to pay.
 
Alhamdullilah....
Sisi sio wa kufirimbwa vile utadhani watoto wa sekondari yaani tunapoteana mazima.
Safari njema Lopetegui tunaonana mbele ya safari,Perez na wewe acha wehu sasa hii timu imezeeka sasa tunahitaji watu wa kuamsha morale iko siku na wewe utawekwa kikaangoni tu huu msimu umeyaleta majanga wewe mwenyewe umeruhusu nguzo mbili kuu kudondoka kibwege tu kisa kiburi chako.
 
Cristiano Ronaldo: “Florentino Perez never looked at me, except as a business relationship. What he told me, he never did from the heart.”
 
Real have failed to win in the league since beating Espanyol on September 22, losing to Sevilla, Alaves, Levante and drawing with Atletico Madrid, before Sunday's 5-1 thrashing by Barcelona at the Nou Camp.

Lopetegui, 52, has now lost two jobs in the space of less than five months.

He was fired by the Spanish Football Federation as coach of the national team the day before the World Cup started in June, due to his having planned his move to Real without informing the Spanish Football Federation.

Announcing his sacking on Monday night, Real Madrid said: "This decision aims to change the dynamics of the first team, when all the objectives of this season are still achievable.

"The Board of Directors understands that there is great disproportion between the quality of the staff of Real Madrid and the results obtained to date.

"The club thanks Julen Lopetegui and all his technical team for their effort and work and wishes them the best in their professional career."

Lopetegui arrived at the Santiago Bernabeu in the summer after he was sacked as Spain manager just two days before their opening World Cup game for negotiating with Real behind the federation's back, but his tenure has lasted only 14 matches.
 
Ninachopinga mimi ni kuaminishana kama matatizo ya Real Madrid yanatokana na kukosekana kwa Ronaldo. Sikama napinga kama timu haina matatizo. Na kama utafitilia uzi vizuri hio ndio hoja yao Mafanboys wa CR7.

Real ina matatizo mengi na hayajaanzia leo. Timu imkua ikiborongo kwa mda sasa hivi ndani ya ligi, na tatizo linafichika kutokana na mafanikio yanayopatikana ulaya.
Timu ina serious problem ya defenders, Na ndio tatizo kuu linalowatafuna msimu huu. Mabao walipigwa 4 kwa atletico, 5 barca, 3 sevilla sikidogo kabisa. na timu yoyote inayoruhusu vipigo kama hivo hapana dalili ya Ubingwa. Mana Mpira jambo lamwanzo Defense. Pitia timu zote zinazo fanikiwa na kutoa mataji ligi yoyote Ulaya jambo la mwanzo utakuta magoli kidogo sana wanafungwa ukilinganisha na wengine. Sasa wadau humu ndani wao akili zao zipo kwenye Ronaldo utafikiria yeye ndie anaekoa magoli kule nyuma. Mechi zote walizofungwa Real Madrid wameruhusu magoli mapema sana ndani mechi. CSK Moscow wametia goli dakika ya pili. Lavente ndani ya dakika 15 za mwanzo walishatia magoli mawili. Sevilla ndani ya 25m walikua na mawili. Barce na hivohivo wametia mbili mapema sana. Sasa wadau humu wanashindwa kabisa kuiona main basic problem ya timu. nafkiri unafaham kabisa vipi magoli ya mapema yanavobadilisha program nzima ya mechi.
Varane garasa, Marcello ni mzuri kwa kushambulia lakini defending very very Poor, Ramos ameshachoka. Na kubwa zaidi ni Kocha mpya amekuja kwenye timu na mfumo mpya ambao ni tafauti mfumo Zidane wakukaba zaidi amabo ulikua ukiisaidia kuilinda defense. Sas imkua inakuaexposed kirahisi kabisa.
Wao wameelekeza majungu kwa Benzema. Benzema ana 6 goals msimuu huu mpaka saivi, Ronaldo 7, Aguero 6, Salah 7, Hazard 8, Cavani 5, Lewandoski 6, Higuain 6, Suarez 7, Kane 6, icardi 5, ukimuondoa Messi karibu Mastriker wote wakubwa wa ulaya wana range ya magoli inayofanana kabisa. Sasa wao sijui walitaka awe kashafunga magoli 20 saivi, Au labda watwambie uyo striker ambaye angekua kashafunga goli 15 nani. Huyo Ronaldo msimu uliopita kama saivi alikua ndio kwanza ana goli 4.

Tatizo kubwa la Real Madrid ni kocha, na si kama kocha ni mbaya tatizo mfumo wake bado umeshindwa kufanyakazi vizuri mpaka sasa. Timu instragle kucreate nafasi za wazi, Napia kwenye defending ni majanga. Mchezaji kama Casemrio ameshindwa kabisa kuuadopt mfumo wa kocha mpaka sasa, Nandio moja tatizo kubwa linapoanzia kuishambuliaji na defending. Naamini wakimpa muda timu itakaa sawa, Lakini sifikirii kama atupata huo mda, Kocha yoyote ataekuja itambidi aje auendeleze mfumo wa Zidane ndio timu inaweza kubadilika kwa haraka.

KIUFUPI KUBORONGA KWA REAL KUNATOKANA NA UBADILISHWAJI WA KOCHA.
We jamaa una shida sehemu, yaan huoni ujinga wa Benz?
 
Bla bla blaaa kocha keshatimuliwa lets wait new one and see new progress

Nyie si ndo mlikua mnasema zidane anabebwa na kikosi alichokua nacho na kwamba hana mbinu etc etc today mnamsifia kuwa ni bonge la kocha duh jamaa anakuzoom ujue
IMG_20181029_224804.jpg

All in all umeongea pumba. Umejaribu kumdis ramos kiaina ili usionekane ronaldo hater ila hujafanikiwa. Hope hujageuka pacha wa isco

Tatizo ni Perez. Madrid inatakiwa kuvunja kibubu kusajili wachezaji vipaji kama utamaduni wa kila miaka.

Back
Top Bottom