Bla bla blaaa kocha keshatimuliwa lets wait new one and see new progress
Nyie si ndo mlikua mnasema zidane anabebwa na kikosi alichokua nacho na kwamba hana mbinu etc etc today mnamsifia kuwa ni bonge la kocha duh jamaa anakuzoom ujueView attachment 915894
All in all umeongea pumba. Umejaribu kumdis ramos kiaina ili usionekane ronaldo hater ila hujafanikiwa. Hope hujageuka pacha wa isco
Tatizo ni Perez. Madrid inatakiwa kuvunja kibubu kusajili wachezaji vipaji kama utamaduni wa kila miaka.
Lazima uone pumba mana ndani ya bongo lako unahisi ushindi wa timu unaletwa na aliefunga goli, Unahisi aliefunga ndie anejua mpira kuliko yoyote mwengine.
Na Labda ungelipekua ukatuekea post yangu niliyowah zungumza hayo kuhusu Zidane.
Na mkuu hayo masuala ya hater na ronaldo ramos niyenu nyie watoto wakidigital. sidili na mabo yakipuuzi, Naifaham Real Madrid kwa karibu miaka 25 sasa kwaiyo nakifaham ninachokizungumza. Ila kwanyinyi mnaohisi Dunia imenza kuexisist baada uwepo wa Ronaldo na Messi sina ya kukwambieni juu ya ilo.
Na Perez ndio brain behind Real Madrid success Economical na Uwanjani pia. Ni binaadamu nayeye ana mapungufu yake hakuna aliekua perfect lakini Fact itabikia kuwa ndio hivo.
Nahilo suala la kuvunja kibubu ndio linalotembea kweye vichwa vyenu, Fikira zenu kwamba spending ndio itakayogerantii success na hilo sikweli kabisa. Hivi Real Wamebeba 3 champion league mfululizo ni spending kubwa gani waliofanya? hawa wachezaji wote walikuepo kabla kwenye timu. Man UTD wamespend karibu 700 pounds katika last 6 years je kuna kipi walichopata?Everton wamespand karibu 300 in last two years nini wamepata? kinachohitajika ni right spending na sio lazima iwe big spending. PSG wamelipa 220 kwa Neymar vipi mpaka saivi umeona dalili zozote za matunda yake?


