pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Kipa anafanya kaz yake vzr sana
Benzema kama kawaida huwa ana upofu na goli....Bale alikosa umakini kabisa kuanzia mwanzo wa mchezo...Hii Sub ya Bale ni kwamba ameumia ama ni technical sub?, ni vizur kucheza na viungo wengi ili ku control hii game, ila ningependa Benzema ndio angetoka
Huyu Benzema si aende bench tu.
Kabisa Mkuu, ingekuwa poa sana kwasababu walishakubali tayari, daaSub vipi hii...hii game viungo ndo wametawala hapa sana...angemtoa Ansensio au Benzema...
Mwaka huu La liga ngumu sanaDah...tumeshindwa kutumia fursa ya wale jamaa kubanwa mbavu...