Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

DoR84kbXoAA4cSH.jpg
 
Nacho anacheza wing back ya kushoto, labda hii ni good news defensively, tutakuwa na defenders 5, na waliobaki pale mbele wote ni ball players
 
Modric angem chezesha kulia badala ya hapo kushoto, ili kroos awe anamsaidia nacho, maana nacho hana speek ya kurudi pindi akipanda kushambulia
 
Nacho anacheza wing back ya kushoto, labda hii ni good news defensively, tutakuwa na defenders 5, na waliobaki pale mbele wote ni ball players
Ni good news defensively yes, lakini kwenye kusaidia idara ya ushambulizi kutapungua, kumbuka game zetu nyingi full backs wana play role kubwa sana katika upande wa ushambulizi, lets hope mambo yataenda poa....#HalaMadrid!!
 
Mkuu hii game ni tofauti sana, we need some defenders who can sit on our half for 90 minutes. Kumbuka Sevilla wametupiga counter attack 2 game yote ikabadilika. Na hawa ndio game wanayokuja nayo leo
 
Today is probably make or break for Karim Benzema.

If it doesn’t go his way, Mariano will take his place in the team.
 
Collision of heads between Ramos and Saul.

Ramos is bleeding and being treated.

Hope he carries on!
 
Hadi dakika hii hatujacheza vzuri...tunacheza kama tupo ugenini...timu haijatulia...tunaacha sana holes wakat ukiangalia ATM hawa kila mpira ulipo watu wawili au watatu wameshafika...
 
Back
Top Bottom