Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Modric awarded UEFA Men's player of the year.

Dl3UV-WXcAAO80-.jpg:large
 
Wakuu Tupeni up to date mchezaji bora ni nani?

Ni Modric Mkuu!

Ni Wazi Kuwa Huyu Tayari Kashakuwa na Mazingira Ya Kubeba Ballon D'Or Mara Hii.
Sababu Ni Kwamba Hili Halina Mjadala Kuwa Mara Hii Messi Hawezi Kuingia Hata 2 bora.
Kwahiyo Wale Messi-Fanboys Wote Kura Zao Watampatia Modric ili Wamzuie Ronaldo tu.
 
Ni Modric Mkuu!

Ni Wazi Kuwa Huyu Tayari Kashakuwa na Mazingira Ya Kubeba Ballon D'Or Mara Hii.
Sababu Ni Kwamba Hili Halina Mjadala Kuwa Mara Hii Messi Hawezi Kuingia Hata 2 bora.
Kwahiyo Wale Messi-Fanboys Wote Kura Zao Watampatia Modric ili Wamzuie Ronaldo tu.
Unafikiri Modric hastahili kushinda Ballon d'or?

- KANA -
 
Liverpool na Tottenham zimepangwa katika makundi ya kifo katika upangaji wa makundi huku Manchester United ikitupwa kwa Ronaldo.

Katika upangaji huo wa ratiba ya hatua ya makundi uliofanyika Monaco, Spurs imepangwa kundi B ikiwa pamoja na Barcelona, PSV na Inter Milan.

Liverpool iliyocheza fainali msimu uliopita ipengwa kundi C pamoja na mataji wa PSG, Napoli na Red Stars

Manchester United watakutana na nyota wao wa zamani Cristiano Ronaldo baada ya kupangwa na mabingwa wa Serie A, Juventus.

Ronaldo, ambaye alichezea Man United kati ya 2003 na 2009, amejiunga na Juve kwa gharama ya pauni 99.2milioni Julai baada ya kucheza kwa miaka tisa Real Madrid.

Wapinzani wao wengine ni Valencia na Young Boys katika Kundi Group H.

Mabingwa wa England, Manchester City wametupwa Kundi F, pamoja na Shakhtar Donetsk, Lyon na Hoffenheim.

Mabingwa watetezi Real Madrid, wamepewa kundi rahisi wakiwa Kundi G pamoja na Roma, CSKA Moscow na Viktoria Plzen.
Makundi

Kundi A: Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge

Kundi B: Barcelona, TOTTENHAM, PSV, Inter Milan

Kundi C: PSG, Napoli, LIVERPOOL, Red Star Belgrade

Kundi D: Lokomotiv Moscow, Porto, Schalke, Galatasararay

Kundi E: Bayern Munich, Benfica, Ajax, AEK Athens

Kundi F: MAN CITY, Shakhtar, Lyon, Hoffenheim

Kundi G: Real Madrid, Roma, CSKA Moscow, Viktoria Plzen

Kundi H: Juventus, MAN UTD, Valencia, Young Boys
 
Mariano Díaz:

“It's been an incredible day, the happiest day of my life. I'm coming home to fulfil a dream I had since I was young and my aim is to give it everything I've got. I hope we can win the very best trophies and continue to make history”.

Number 7
“The number is not the most important thing for me. It's a challenge and a source of pride to wear the same number as legends like Emilio Butragueño and other great players who have worn it. It's exciting, it was available and I'm thrilled to be able to take the number 7”.

“When you go away from home, you mature and improve in everything you do. I can still improve on a lot of things and I'm coming here to work hard and help my teammates."
Signing

“Julen Lopetegui called me and he's responsible for me coming here. He told me he was counting on me and he'd be thrilled if I decided to come back. When you go away from home, it's sad."

"It's hard to imagine you'd be coming back inside a year and when I picked up Julen's call I was pleased but nervous too”.
Competition

“I'm coming to work hard and be another member of the squad. We're a family and that's the most important thing. I'm coming to give the best possible account of myself."

40424420_2165147286843353_3405910646275964928_n.jpg
 
Back
Top Bottom