Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Lopetegui during the game.

DkClzrEWwAASc_i.jpg
 
Wengi hawaelewi kuwa mpira ni sayansi na how you plan, jinsi unavyoplan ndivyo itavyokiwa most of the times. Wengi walizoea kuiona madrid yenye Galacticos na kipindi hicho Galactico akisajiliwa alikuwa Galactico kweli, from Figo, Zidane, Beckham nk walikuwa wanaipa timu faida either ndani ya uwanja ama nje ya uwanja.

Miaka ya karibuni mpira umebadilika sana, kuna inflation kubwa ya bei za wachezaji. Wengine nadiriki sema hawaana thamani hiyo, yote hiyo imesababishwa na ujio wa waarabu katika soka mf ni PSG na Man City. Ukitaka kushindana nao katika hili hutoweza kamwe, kwani wao wanatumia pesa zinazopatikana nje ya mchezo kufinance sajili na expenses za timu.

Madrid kupitia Perez wameliona hilo tatizo, wameamua kupaki basi na kufanya scouting ya young talents. Hii inaihakikishia madrid kuwa na kikosi kitachokuwa pamoja kwa miaka hata mitano mbele ukizingatia stars wa timu kwa sasa ni aged. Kuanzia Modric, Benzema, marcelo na kiongozi mwenyewe Sergio Ramos wote hawa ni zaidi ya miaka 30. Mbadala wa hawa watu inabidi ufanywe kwa umakini mkubwa sana.

Ndo hapo unapoona kuna wakina asensio, vasquez, mayoral, Vinicius, isco wakiwa tayari kukabidhiwa majukumu ya kaka zao. Hili linakuwa engineered na Julen Lopetegui kwani by CV wengi mmemjua Lopetegui baada ya kufukuzwa national team hapo juzi kati. Ila Lopetegui ana historia nzuri katika kulea vipaji, msichojua isco, asensio walipata kulelewa na kufundishwa na Lopetegui wakati wakiwa national team ya watoto za spain. Casemiro mnayemuona leo ni lopetegui huyuhuyu ndo amemfanya awe alivyo pindi alipokiwa Porto kwa mkopo
Maelezo mjalabu mkuu
 
Naamini katika kocha wetu mpya ..naamini madrid tutaonesha kitu cha tofauti , vijana wanacheza kwa adabu kujituma ,napenda timu kwa sasa tunatengeza chances zaidi katika lango la adui win or lose tuendelee support club yetu #halla madrid .y nad mas
 
hatuwezi ku fika popote kwa kikosi hiki tume kua na mazoea kwenye kaz
 
Sasa mkuu kwa mtazamo wako unataka Real Madrid walete kikosi kingine au nini kifanyike?
hatuna striker wa maana mpambanaji form ya Benz haieleweki mpk sasa Bale nae trip shamba trip garage Asensio bado sio wa kumuamini 100% backup ya Ramos haipo I thought James Rodriguez anarudi imekua tofaut , Kweli mm bado nna mashaka na squad yetu ya msimu huu
 
Benzema tatizo lake anakosa sitter nyingi, lakini kwa style of our play yule muache palepale. Anatengeneza nafasi nyingi tu na connection yake na viungo iko poa. Hata akija striker mwingine ategemee kucheza half kwasababu nawaona Asensio na Bale are on fire
 
Courtois joins Madrista for 38£ million
Bora aisee Man U walitaka kutupiga 200£ million kwa De Gea
 
Courtois joins Madrista for 38£ million
Bora aisee Man U walitaka kutupiga 200£ million kwa De Gea
Matobo kama yote!

Hiyo bei ni kwasababu ya contract yake ilibaki mwaka mmoja. Tofauti na hapo ilikua sio chini ya 120!
 
Back
Top Bottom