PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,262
- 22,143
Hapana mkuu labda umechanganya ila matteo kovacic mlimnunua kutoka inter milan na Theo Hernandez mlimnunua kutoka Atletico Madrid.....View attachment 829801
Ila tukiwa wakweli huyu theo kafulia sana hakuwa hivyo atletico sijui sababu ya ubora. Wa marcelo ama hajazoea kucheza timu yenye pressure kubwa ya kuperform kama madrid but kafulia sana heri angebaki atletico leo hii angekuwa kabeba world cup na kaka yake lucas
Atleti walimtoa loan Sociedad, Los Blanco wakamtoa huko na ndio sababu anataka kwenda tena. Hata hivyo Theo ni bado moto anachotaka ni playing time na pale nani umuweke bench Marcelo?