Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The players are back in Madrid! #HalaMadrid

DkFL54bXcAEkwGI.jpg


DkFL54ZXsAE76se.jpg


DkFL548XoAAo1Kt.jpg


DkFL556X0AAGdPh.jpg
 
Vallejo suffered a muscular tear which meant he had to sit out Tuesday's friendly against Roma. He will miss the Trofeo Bernabéu and the UEFA Supercup final. He’s expected to be out for 4 to 6 weeks. [as]


38739751_2123969077627841_4775795327238144000_n.jpg
 
Msimu huu tunakuja kivingine

Wengi wasichokielewa ni kwamba madrid baada ya kupata mafanikio aliyopata ndani ya miaka mitano iliyopita, ni kwamba ameamua kusuka upya kikosi chake kwa kukusanya wachezaji ambao watakuwa pamoja kwa miaka mitano ijayo.

Tofauti na watani zetu Barca ambao baada ya retirement ya Neymar, Xavi & Iniesta wanaonekana kufanya panic signings kwa kusajili wachezaji kwa bei kubwa na kuwatoa kwa mkopo.
 
hatuwezi ku fika popote kwa kikosi hiki tume kua na mazoea kwenye kaz

Iyo ni imani yako kwamba hatuwezi fika popote ..imani yangu ina amini tutafika mbali naamini katika falsafa za kocha na ambayo timu inatengenezwa kwa ajili ya future ya baadae ..kama timu iliyopiga uefa 3 ilivyokuwa inaandaliwa #tusubiri msimu mpya
 
Iyo ni imani yako kwamba hatuwezi fika popote ..imani yangu ina amini tutafika mbali naamini katika falsafa za kocha na ambayo timu inatengenezwa kwa ajili ya future ya baadae ..kama timu iliyopiga uefa 3 ilivyokuwa inaandaliwa #tusubiri msimu mpya
Acha iman potofu back to reality anaondoka Ronaldo tuna sajiri kipa tupo serous kwel?
 
Marca’s Cover | “White Giant: Courtois has signed for 6 seasons and will be presented today at 13:00 CET.”


DkHWZ9PW0AEzYLM.jpg:large
 
Transfer Talk | Real Madrid emissaries traveled to Rome to meet with Lazio to negotiate a deal for Sergej Milinković-Savić. [Il Messaggero]
 
According to Tuttosport, Marcelo is in constant contact with Cristiano and could be interested in joining him at Juventus. [Marca]
 
Courtois has attended the Sanitas La Moraleja University Hospital, where he successfully passed his medical assessment prior to being unveiled as a new Real Madrid player at the Bernabéu.


DkJv5zbXcAEc3b6.jpg
 
Karibu Thiba...ila kwa mimi nina amini kama hatuna safu nzuri kule mbele bado tutakuwa tunaleta mashambulizi huku nyuma na matokeo yake ni kuwa hata huyu kipa ataonekana siyo mzuri....bado nina amini inatakiwa kusajili mshambuliaji kiwango cha dunia haswa kwa sababu zile zile za kiuchumi na timu kuwa na morali kubwa,hii foward yetu ya kina Benzema hii yakufuga ndevu nakutegemea kina Bale na Ansensio wanaotumia mguu mmoja katika kucheza nakufanya maamuzi bora tunapata tabu sana kwenye mashindano makubwa ya mtoano..
 
Acha iman potofu back to reality anaondoka Ronaldo tuna sajiri kipa tupo serous kwel?
Tatizo wewe umeijua Realmadrid baada ya kuja Cr7, kwasasa Perezi anawekeza kwa vijana wadogo hao ndo watatesa ndani ya misimu 2 au 3 ijayo utaona mwenyewe
 
Back
Top Bottom