Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #38,001
Hatuwezi kuwapima kwenye hizi friendly matches, atleast mechi ya Atletico itakua kipimo sahihi kwenu!
Pre season games ndio tunaenda kwa mwendo huu msimu wote. Mwaka jana tumeanza ku struggle kuanzia hizi game za Marekani mpaka la liga. Nafuatilia Real Madrid in deep, vitu vinatakiwa kuwa improved lakini style of play ya vijana ni ya kusisimua. Moto ni huu huu
Nice answer umeimprove mkuu.
Nilisema huko nyuma, kama kuongea football tuongee, lakini I don't let anyone disrespect us especially on our own home. Mtu akileta makuzi tunaenda nae sawa





Hyu alikuwa vzuri atletico sijui nini kilimtoa huko..... Kwisha habari kabisaReal Madrid and Real Sociedad have reached an agreement for the transfer of Theo Hernandez. Only thing left is the official announcement. [as]



nataman kuandika kitu ila no itakua ligi Nilisema huko nyuma, kama kuongea football tuongee, lakini I don't let anyone disrespect us especially on our own home. Mtu akileta makuzi tunaenda nae sawa
Hyu alikuwa vzuri atletico sijui nini kilimtoa huko..... Kwisha habari kabisa
Hapana mkuu labda umechanganya ila matteo kovacic mlimnunua kutoka inter milan na Theo Hernandez mlimnunua kutoka Atletico Madrid.....Theo hajawahi kucheza Atleti. Kutoka Academy walimtoa loan Sociedad, akawa na wonderful season, Real Madrid wakaamua kulipa release clause.
Theo sawa na Kovacic ni sehemu ya project ya Real Madrid, kinachowafanya waende loan ni kupata playing time ili wachaguliwe National team,