Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Cry me a river
 
Kuna comments humu zinaonyesha watu walivyo na maumivu makali. Jana wamelala wanaloanisha Mito kwa machozi. Mwaka wa tatu mfululizo mnabadili tu sababu. Sikuona msimu uliopita mkizungimzia goli mbili za Bayern ambazo zilikua magumashi and still we knocked them out.

Tumieni Panado,ni nzuri kwa kutuliza maumivu.
 
Mkuu, mara ya tatu mfululizo lazima watu waumie, why Madrid?? Why Madrid?? Na bado, wataongea sana!
Yaani povu na machozi mchanganyiko, oooh, refa sijui, ooooh, buyern hawana bahati....
 
Madridistas!!! Kuna kila sababu ya kujipongeza kwa hatua tuliyopiga ile jana, ilikuwa ni hatari lakini salama.., Wajeruman walitulia sana kwa kweli kwa kweli., haikuwa rahisi hivyo, ukomavu na uvumilivu wetu ulitusaidia sana., vijana walifanya kazi kubwa sana.., cha muhimu ni kujipanga kwa ajili ya final kule Kiev., however atakayekuja kama ilivyo ada ni kumheshimu mpinzani wetu na kucheza mpira wetu...
 
Jamani casemiro atacheza fainal maana alipewa yellow
Atacheza Mkuu, Siku hiz card mbili za njano hazimzuii mchezaji kwenda kukipiga final., kama ilikuwa ni kwenye round nyingine za mwanzo huko angekosa mchezo, ndio maana hukona wakiandika kuwa atakosa game inayofuata. So msiwe na shaka Kijana atakuwepo.
 
Casmiro Fainaly atakuwa jukwaani mkuu
Mkuu Hiyo kitu UEFA walishaitoa tokea ile incidence ya Xabi Alonso., siku hiz hizo kadi za njano mwisho wake unaishia semi final., japokuwa kama mchezaji alipata kadi mbili za njano, na ikatokea team yake ikatolewa basi atatukimia hiyo adhabu msimu unaofuata..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…