Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dah habarini humu madridista wenzangu.. nilipotea majuma kadhaa kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wangu. Lakini nafurahi mwenendo timu UCL kule tumeweza waziba midomo haters.
Salama Kabisa Mkuu., mambo mdogo mdogo vijana wanafanya mambo hukoo UCL, tunakabiliwa na mtanange wa pili kesho kutwa hapo..
 
STILL NUMBER ONE
 
Attachments

  • Screen Shot 2018-05-01 at 03.19.16.png
    Screen Shot 2018-05-01 at 03.19.16.png
    47.5 KB · Views: 61
Madrid fans msiwe na hofu leo tunawakalisha hawa wajerumani tunaenda zetu final na mwali tunambeba kiulainii, hatuna cha kupoteza. Historia inatengenezwa tena.
 
Dah habarini humu madridista wenzangu.. nilipotea majuma kadhaa kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wangu. Lakini nafurahi mwenendo timu UCL kule tumeweza waziba midomo haters.

Karibu tushangilie ushindi leo
 
Back
Top Bottom