Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

40'
Real Madrid 1-0 Leganes.

Madrid dominating the possession so far!
 
GOAAAAAAAAAAAAAL MAYORAAAAALL!!!

MADRID HAVE THEIR SECOND GOAL!
 
HALF TIME Real Madrid 2-0 Leganes (Gareth Bale 8', Mayoral 45'). [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

Db4tM9MX0AAzOue.jpg:large
 
Gareth Bale is Real Madrid's captain now for last 30 minutes.

CAPTAIN BALE!
 
Man, you can't believe hii class inayoonyeshwa na hawa youngsters. Umemuona Covacic? Kama yupo mazoezini.
Sikufanikiwa kuangalia hii game jana, but kwa highlight nilizochek tu, vijana wetu wapo poa sana, wamekosa experience tu., Dani, Theo na Hakimi watakuja kufanya makubwa sana kama wakituliza akili zao kwasasa.., wanajitahid sana kwa kweli, Kovacic wala siwezi kumzugumzia.., yule Dogo anajua sana,
Ila cha kushangaza Benzema hata kwnye game kama ile ya jana, bado anakuwa garasa., sijui ni nin kimemkumba jamaa.,
 
Kuna taarifa kwamba jumanne beki no.2 itachezwa na Lucas
Sijui ni kwanini Zidane anataka kurisk hichi kitu, kumpanga Lucas amukabe Ribery ni zaidi ya maamuzi magumu.

Ni vyema Achraf acheze japo hua ana makosa mengi kutokana na experience yake ndogo!
 
Carvajal anaumea na kama lucas atacheza hiyo number maana yake casamiro atakuwa back msaidoz full time kama game iliopita.

Zidane sina mashaka na mfumo japo kunawakat selection inakuwa ngumu kwake.

Last game approach aliplan kucheza tofauti na alivyocheza na juve.

Juve aliweka viungo wanne na siku ya buyern akaweka 4-1-4-1 na baadae kukawa so defencinve mbaka Roben alipoumia tukaresume na kwa mfumo huu huu unamfanya casemiro awe chini muda wote.

So i think the same approach atamfanya casamiro awe swap midfilder na mimi na hakika kwa majeruhi ya buyern tutapita kabisa. Comman sick, Ruben sick, vidal sick na Neuer sick. Tunawazibiti tuu.
 
Kuna taarifa kwamba jumanne beki no.2 itachezwa na Lucas
Sijui ni kwanini Zidane anataka kurisk hichi kitu, kumpanga Lucas amukabe Ribery ni zaidi ya maamuzi magumu.

Ni vyema Achraf acheze japo hua ana makosa mengi kutokana na experience yake ndogo!
Sidhani kama anafanya tena hivyo, siku ile ilitokea tu as emergency na ukizingatia kuwa tulikuwa tuna goli mbili na pia Lucas alikuwa ameifanya Hiyo kazi kwa mafanikio makubwa kwa muda mrefu, so akaona usiwe shida akaamua Dogo amalizie kazi yake.., Nacho mpaka Jne atakuwa yupo fit, so ninadhan atapiga beki 2, akisaidiana na Lucas pia.., kutokuwepo kwa Isco inamaana Asensio atapata nafasi ya kuanza pia..., ila ngoja tusubir jamaa atakuja na formula ipi.,
 
Good news ni kwamba mazoezi ya leo Isco na Nacho waliwajoin wenzao.
Hopefully tutakua nao kumalizia kazi
 
Back
Top Bottom