Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #36,541
Benzema off and Bale On
Alikula kadi ya njano mkuuHivi Ronaldo alionyeshwa kadi ya njano au lah baada ya kuvua jezi?
Maana sikufanikiwa kuona tukio zima
Samahani kidogo mkuu, sisi kushinda ugenini sio maajabu!Yani leo ikitokea maajabu ya Mussa tukashinda namtumia demu wangu 25% ya mshahara wangu utakaoingia nadhan ijumaa hii.
Mkuu naomba unitag baada ya mechi hii ya leo.Yani leo ikitokea maajabu ya Mussa tukashinda namtumia demu wangu 25% ya mshahara wangu utakaoingia nadhan ijumaa hii.