lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,360
- 25,456
Bayern Munich bado wapo, mbona mabingwa wenzao wamefungashiwa virago?Uefa ya mwaka huu sio mchezo
PSG bingwa France
JUVENTUS bingwa Italy
BAYERN MUNICH bingwa Germany
REAL akichukua na hii itakuwa balaaa
Barcelona
Juventus
Man City
PSG