Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Me cwaz matokeo me nataka MADRID apiteee
Aende wapi labda? Fikirien na vidagaa vinatakiwa kuonja ubingwa jitu makombe 12 bado mnalipigania tu mwenzie ac milan anachaj betri zipo low acha huyu nae apumzike
 
Aende wapi labda? Fikirien na vidagaa vinatakiwa kuonja ubingwa jitu makombe 12 bado mnlipigania tu mwenzie ac milan anachaj betri zipo low acha huyu nae apumzike
Nashukuru kwa kukubali Madrid tupo juu
Lakin laziam tuweke heshima
 
Kipya Kipo Kwenye Pitch [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]! Lakini [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] na #JF haina Kipya. OVA
Kwa mpira upi na ww umepita kwa city mpira kacheza city bahat ya magoli ipo kwa liverpool same to roma barca kaupiga nakumbuka 2004 ugirik kabeba uero kwa mpira wa bahat ma giant wanye soka wanatoka unaweza kupima ubora wa marcelo na anord?
 
Back
Top Bottom