Me cwaz matokeo me nataka MADRID apiteeeNasemaje pambana na mkeka wako nachojua Juve anaongoza![]()
Acha kiki wewe lijimamaTena unikome hunijui sikujui
3:0nipeni matokeo jaman
Marcelo ndio kawa uchochoro leo.Carvajal anazingua
Inachoma kama pasieeeKamtunze mumeo, utapewa talaka.
Sasa kwa nn wakina benzema hawafungi? Huoni kama advantage kwa hayo magarasaRonaldo kakabwa na watu watano,
0-3nipeni matokeo jaman
Mkuu Bado tupoKama tumetoka vile
Mbona swansea anamfumua liverpool mpira haupo hivyo liverpool inakipi kipya?Eti Kuna Mapimbi Flani Hivi Wanasema Real Hii itamuosha Liverpool nyingi 😀 😀 😀 World Wonder
Linamo, we haya tu.Inachoma kama pasieee
Kiongozi.Kama tumetoka vile