HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Kukiosha shughuli yake inakuwa nzito sana😀 😀 😀 😀 Chungu Kimeshaingia Masizi
Kukiosha shughuli yake inakuwa nzito sana😀 😀 😀 😀 Chungu Kimeshaingia Masizi
Ngwaba salamu mkuu. Natambua uwepo wako hapa. Salute man!😀 😀 😀 😀 Chungu Kimeshaingia Masizi
unapata muda wap kuja hapa ilitakiwa muda uwe unasuguliwaNasemaje pambana na mkeka wako nachojua Juve anaongoza![]()
Mkuu MADRID anapita hiyoooHali ni tete mkuu
Kakosa bwanaa huyunapata muda wap kuja hapa ilitakiwa muda uwe unasuguliwa
Wasi wasi wako ni nn kakaMkuu MADRID anapita hiyooo
Dada punguza bhasWewe hujapata wa kukusugua??? Naona unatafuta ban
Tena unikome hunijui sikujuiDada punguza bhas
Mpira ukisha Pm zitajaaa
Kamtunze mumeo, utapewa talaka.Jana si mlishangilia![]()