Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Nawataka Man city tuwaonyeshe kwamba mpira upo La Liga na kombe linakwenda La Liga...Tukutane FINAL sasa na ambae anao ana pumzi aje awe mfanonimetania tu.
Nawataka Man city tuwaonyeshe kwamba mpira upo La Liga na kombe linakwenda La Liga...Tukutane FINAL sasa na ambae anao ana pumzi aje awe mfanonimetania tu.
HahahahahahaHela zote PSG walizotumia kusajili halafu wanaishia 16 bora ni bora wangelimia matikiti maji tu
[HASHTAG]#HallaMadrid[/HASHTAG]
Hawa watoto kina Vazquez, Asession, Wapo vizuri sana.Umemuona Vazquez yule?
Waweza kushangaa modric na kroos wamechoma mahindi kisha madogo wameupiga mwingi.Hawa watoto kina Vazquez, Asession, Wapo vizuri sana.
Japo hapo kati nako kina Casmiro na mwenziwe Kovasick wameupiga mwingi sana pale kati mpaka umemwagika bhanaaa...
Hawa waendelezwe vizuri ndio watakao ibeba hii timu ya Dunia.
Aisee inspekta Kova kaupiga mwingi sana hapo jana utasema fundi gari kwa jisi alivyokua anazama uvunguniHawa watoto kina Vazquez, Asession, Wapo vizuri sana.
Japo hapo kati nako kina Casmiro na mwenziwe Kovasick wameupiga mwingi sana pale kati mpaka umemwagika bhanaaa...
Hawa waendelezwe vizuri ndio watakao ibeba hii timu ya Dunia.

kule mbele tatizo ni benzema na hata Bale!!msimu ujao waondoke tu au watafutiwe wakali wa kuwapiga benchiKusema kweli Madrid kule mbele bado hawaeleweki kabisa.
Yani some time hawataki hata kuwapa mabeki pinzani presh, wanaleta mambo ya kifadha tuu.
Hebu wacheki hawa madogo Kova na Casimiro walivyo jitoa...
Wakae benchi mkuu, si watakuwa watumishi hewa. Haiwezekani mkuu hao wakuuzwa tuu.kule mbele tatizo ni benzema na hata Bale!!msimu ujao waondoke tu au watafutiwe wakali wa kuwapiga benchi
Haa haa haa fact mkuu, dogo hana no. Madrid kwa sasa, angekubali kipindi kile kuja jana angekua anakiwasha tu kwenye uzi mweupee.namuonea huruma sana Mbappe,anaweza kujihisi hastahili kuchezea Madrid jinsi alivyodhibitiwa jana
kaVasquez sikuhizi kameacha ugalasa. hongereni sana humu ndani.
dogo yupo vzur ila cku za nyuma alikua ana utoto flan wa kurudisha mpira nyuma kma wa IscoLucas Vazquez hajawahi kuwa galasa labda umemfahamu jana. Kwa taarifa yako tu, wakati anaanza kucheza first team Carvajal aliumia, basi dogo aliipiga Wingback utafikiri Marcelo. Yule ni deriver hadimu in Spain
kalikuwa kanapoteza sana mipira kule winger ya kulia, kalikuwa hakaoni goli pia kalikuwa hakana stamina. sikuhizi naona kameingia na gym. labda umeamua tu kukatetea ila wanaocheki mechi za RM watakubaliana nami.Lucas Vazquez hajawahi kuwa galasa labda umemfahamu jana. Kwa taarifa yako tu, wakati anaanza kucheza first team Carvajal aliumia, basi dogo aliipiga Wingback utafikiri Marcelo. Yule ni deriver hadimu in Spain