Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Haa haa haa fact mkuu, dogo hana no. Madrid kwa sasa, angekubali kipindi kile kuja jana angekua anakiwasha tu kwenye uzi mweupee.


Ila Benzema sio ridhiki kabsa, naona jana hadi Zidane mwenyewe kamind jinsi alivyokosa lile goli yeye na kipa akaamua muda huo huo amupe sub.
Akimuendekeza Benzema atamsababishia kibarua kiote mbawa.
 
Q
kalikuwa kanapoteza sana mipira kule winger ya kulia, kalikuwa hakaoni goli pia kalikuwa hakana stamina. sikuhizi naona kameingia na gym. labda umeamua tu kukatetea ila wanaocheki mechi za RM watakubaliana nami.


Nasikia Barcelona kuna sherehe Neymar katolewa kwenye Champions league
 
a91e2aa19a93e4a64cb231e5ec918345.jpg

Dogo just wait.. ukue ukue kidogo
 
Casemiro in this game against PSG:
1 goal
1 shot
56 passes completed (57)
4 tackles won (5)
11 recoveries
A BRILLIANT GAME FROM HIM

[@optajose]
 
Tetesi

Klabu za Chelsea na Real Madrid zinaongoza mbio za kumuwania mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski raia wa Poland mwenye miaka ya 29 ambaye yuko mguu ndani mguu nje.

Barca watachuana na mahasimu wao, Real Madrid kumsajili beki wa pembeni mwenye asili ya Austria anayekipiga na Bayern Munich, David Alaba (25).
 
Back
Top Bottom