McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Thanks CR7.....!
Yametimia kama kawa.
Yametimia kama kawa.
Maana naona dogo sijui anaogopa nn...anapiga krosi miguu kwa watu
Kipindi cha kwanza walipotea aiseee.....hahahhahahahha....safi sanaTall umeona? Asensio great effort, Lucas, Ronaldo goal!
Ooh imekuaje tenaPSG equalizer after a deflection, 1-1
Hili goli tumefungwa kwa dharau sana....tuliwadharau
Hahahahhahahahahhahah...mkuu huyu jamaa me nimifanya mazoez wiki mbili namzdi...Tall mchukue Benzema wako bhana