Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tetesi

Klabu za Chelsea na Real Madrid zinaongoza mbio za kumuwania mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski raia wa Poland mwenye miaka ya 29 ambaye yuko mguu ndani mguu nje.

Barca watachuana na mahasimu wao, Real Madrid kumsajili beki wa pembeni mwenye asili ya Austria anayekipiga na Bayern Munich, David Alaba (25).

Real Madrid hawawezi kumsajili Lewandoski tena, ni too late. Alitakiwa aje pale 5 years ago. Hatuna historia ya kusaini vikongwe, huyo Jose Mourinho atamfaa. Sisi tunatengeneza team ya kina Vincius Jr sasa hivi sio hao wahenga
 
Kama tuna tengeneza team kupitia kwa kina Casimiri, Ispecta Kov nk.basi wampe mda Zinedine zidane .
Maana huyu jamaa sijaona akifanya usajiri mkubwa wa wachezaji
 
Kama tuna tengeneza team kupitia kwa kina Casimiri, Ispecta Kov nk.basi wampe mda Zinedine zidane .
Maana huyu jamaa sijaona akifanya usajiri mkubwa wa wachezaji

Zidane pale kuondoka atake mwenyewe tu. Kuna rumours kwamba anataka kunawa mikono this coming summer, lakini nani anajua, usubiri tuone
 
Mkuu tuwekee idadi ya wanaongoza magoli laliga
Screenshot_2018-03-10-18-20-21-99.jpg
Screenshot_2018-03-10-18-20-33-92.jpg
 
Back
Top Bottom