Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

This is our 19-man squad for tonight's Copa del Rey match against CD Leganes! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [HASHTAG]#RMCopa[/HASHTAG]


DT0fMeHWAAAGy7m.jpg:large
 
Mapumbavu wa panyalona kutwa nzima wanashinda kwa wanaume humu huku wakikatika viuno wakati sisi hatuna habar nao.
 
Vishoga vya panyalona havina Kombe lolote la kujivunia kazi majungu mipovu isiyoeleweka.
 
Leganes piga hii michovu izidi kuweweseka na kutoa mipovu na mitusi...
Piga sana..,siku hizi watu wanajipigia tu...
 
Leganes piga hii mimbwakoko haijiwezi....nyie ni wAkali kuliko yenyewe piga kabisa..
 
Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane anaamini kwamba mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo atasalia katika klabu hiyo na haoni sababu za yeye kuondoka katika klabu hiyo ya Uhispania.
Mshambuliaji huyo wa Ureno amefunga magoli tisa katika mechi sita za vilabu bingwa lakini amefunga bao nne katika mechi 14 za la Liga msimu huu.
Kulingana na ripoti , Ronaldo amekuwa na mgogoro wa kandarasi na klabu hiyo na amehusishwa na uhamisho wa kurudi Manchester United.

Lakini Zidane alisema: Mimi hupendelea kusema kitu hicho hicho kwamba sioni Real Madrid bila Cristiano Ronaldo.
Ronaldo mwenye umri wa miaka 32 yuko katika kandarasi hadi 2021 na alishinda taji lake la tano la Ballon d'Or mwezi uliopita, mbali na kufunga bao la pekee katika mechi ya fainali ya klabu bingwa duniani dhidi ya Gremio.
Licha ya kuonyesha mchezo mzuri katika mechi za vilabu bingwa, wako katika nafasi ya nne katika ligi ya La liga baada ya kushindwa nyumbani na Vilareal siku ya Jumamosi.

Tangu kujiunga na Real Madrid kutoka Man United ambapo alivunja rekodi ya £80m 2009, Ronaldo ameifungia timu yake mabao 422 katika mechi 418, lakini meshindwa kufunga katika mechi tatu za ligi.
Zidane alisema: Tunajua kilichojadiliwa , lakini kile Cristiano anachofaa kufanya ni kufikiria kucheza kama kawaida.

'Ningependa kuzungumza kuhusu mchezo wake kwa sasa na kile anachoweza kuchangia katika timu akiwa uwanjani''.
''Cristiano ni mmoja wa klabu hii, ambapo yupo. Klabu, mashabiki na kila mtu anampenda. Upande wake wa mchezo ndio nilio na hamu nao. Sitaki kuzungumzia kandarasi yake na vitu kama hivyo''.
Baada ya kushinda mechi mbili kati ya saba za ligi, Real wako na pointi 19 nyuma ya viongozi Barcelona wakiwa na mechi ambayo hawajacheza.
Alipoulizwa kuhusu hatma yake ya siku za usoni , Zidane alisema: Sifikirii kuhusu hilo.Nafanya kazi kulingana na siku ilivyo na siwezi kubadilisha hilo.
 
Real Madrid bench: Keylor, Achraf, Nacho, Modric, Kroos, Casemiro and Isco.
 
Zidane keeps his European Records:

40 Consecutive Games Unbeaten.
73 Consecutive Games Scoring.

zinadine-zidane-.jpg

 
Jamani mwenye link ya kucheck gemu laivu naomba atusaidie maana naona kila link zote hazisomi.
 
Back
Top Bottom