Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hakuna anayekataa kwamba players wengi wa RM wameisha. Marcelo at his prime ni dribbler mzuri kuliko beki yeyote yule kuwahi kutokea katika uso wa Dunia labda na Mbrazil mwenzake Alves.

Matatizo ni mengi, moja players wengi wwmechoka, pili Hakuna subs za maana, tatu Zizu anagoma kusajili anadai bado anawaamini players wake, wenzake Barca Pamoja na kwamba wanafanya vizuri ila bado wajasajili.

Mimi natabiri Zizu ataondoka game against PSG Kama tutavuliwa nguo pale pale Bernabeu, akipenya kwa PSG anaweza achwa Hadi mwisho wa msimu regardless of makombe. Come summer Lazima asajili
Hakuna cha kuchoka...huwezi kuwareboot hao ndo kilele chao tayari....
Kuhusu kusajili sioni hata huyo neymar akija hapo kwenu...
Kane mwenyewe naona ni mzur mipira ya chini kuliko hiyo ya juu....
Kiufupi...,cheche za Madrid ndo zinapotea hivyo...
 
ANNOUNCEMENT:

Dear DSTV customers, please be adviced that all Real Madrid matches will be moved to Cartoon Network channel 301 in order to create space for serious games. We apologise for the inconvenience caused. Thank You
 
Alaf hii thread n ya real madrid tu,,nyie Barcelona mbna mnashoboka sana
 
Hakuna anayekataa kwamba players wengi wa RM wameisha. Marcelo at his prime ni dribbler mzuri kuliko beki yeyote yule kuwahi kutokea katika uso wa Dunia labda na Mbrazil mwenzake Alves.

Matatizo ni mengi, moja players wengi wwmechoka, pili Hakuna subs za maana, tatu Zizu anagoma kusajili anadai bado anawaamini players wake, wenzake Barca Pamoja na kwamba wanafanya vizuri ila bado wajasajili.

Mimi natabiri Zizu ataondoka game against PSG Kama tutavuliwa nguo pale pale Bernabeu, akipenya kwa PSG anaweza achwa Hadi mwisho wa msimu regardless of makombe. Come summer Lazima asajili
Real hana ubavu wa kumtoa PSG
Msijifariji

Msimu huu mpo hovyo kwenye ligi hadi UCL......

Size yenu Lipuli
 
37740d036cf1f89cc5c3f1066740ee56.jpg

  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom