Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #34,941
hawana Leganes hawana tu forward ila wanadefend vizuri sana
Wako na team nzuri, lakini hizi timu ndogo mara nyingi inakuwa difficulty for the squad to develop together. Hapo utakuta wachezaji wengi wako on loan, na uchumi sio kivile kwahiyo kila mtu anacheza kwa ndoto ya kutimkia kwenye maslahi.