Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

PSG are going to murder us, labda tuwaambie Barcelona watuazime yule Refa wao wa mwaka jana
 
Emery (PSG's coach) : "PSG have been preparing for years to beat the best and at the moment the best are Real Madrid."

26196205_1845574358800649_2937534541766535660_n.jpg

Anaota mchana kweupe huyu, hajui kwamba UEFA ni uwanja wa nyumbani!
 
Ha ha bundi kanya tena huu mwaka lazima maji yaitwe mmaa au inyaaa
Huyu mshamba wa Spain Iago Aspas kwa penalty yake ilitosha kabisa kutoboa meli then akakosa
Nawakumbusheni tu tarehe 22-01-2018 mtakutana na Valencia estadio Mastella

Week moja baadae mnakutana na PSG
Zidane akifukuzwa mwezi wa pili sitashangaa narudia tena
 
Na hilo likotinyo lenu mnalioverate tu na utadhani litacheza UEFA, afu kwanza ngojeni mwisho wa mwezi huu mchapike UEFA.
Celta Virgo hao wanakuja kimbia...mara Valencia hawa...kuna uwezekano mkacheza Ueropa mwakani maana hamna kwakupumulia wala kutokea mara PSG hawa...
Zidane alidhani ni Al shaabab aliowafunga world club cup
 
Eeeh naipenda kazi yangu ,nauona mwisho wako naona meli inazama na Mr kipara na penaldo wake (watu wajanja wajanja wako ndani)

Paulinyo, dembele, kotinyo na nani mwingine sijui! Naona mnahaha sana huku na kule kutafuta replacement ya Neymar tu, inaonekana ni waoga kwelikweli manake hamjiamini kabisaa.
 
Paulinyo, dembele, kotinyo na nani mwingine sijui! Naona mnahaha sana kutafuta replacement ya Neymar tu, inaonekana ni waoga kwelikweli manake hamjiamini kabisaa
Neymar alikua ni player wetu kuna tatizo?au ulikua unaumia kuchezea Barca?so far we sijui mpira umeujua jana Barcelona iliyotisha ulaya Neymar hakuwepo ndani kabisa na wala katika ma legends wa barca hayupo
 
Neymar alikua ni player wetu kuna tatizo?au ulikua unaumia kuchezea Barca?so far we sijui mpira umeujua jana Barcelona iliyotisha ulaya Neymar hakuwepo ndani kabisa na wala katika ma legends wa barca hayupo

Kwahiyo mlitaka labda mpaka achukue tuzo ndo mmwite legend! Afu msisumbue watu, ngojeni kwanza UEFA ichanganye ila mbaki na status yenu hiyohiyo then ndo muje huku kutupigia kelele.
 
Back
Top Bottom