Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

879ee90217da2ae637f57fd9a27a91b8.jpg

Inasemekana jamaa saizi yupo Morocco anapigwa Paipu
 
Tetesi

Real Madrid walikuwa na nia ya kutoa ofa ya pauni milioni 177 kwa Coutinho kabla ya kukubali kujiunga na Barcelona kwa pauni milioni 142. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Hahahahahhahahahahahahahahaahhahahahahahahaahhaahahaha Madrid wamepigwa mitalimbooooo

Usiamini kitu chochote wanachoandika Mundo Derpotivo kuhusu Real Madrid. Tena habari zao wala usilete humu. Mundo Deportivo ni Catalonia based News Paper, kazi yao kubwa ni ku-troll Real Madrid. Wanafanya kila wanaloweza ili ku-embarrass Real Madrid na wachezaji wake, kama hujui ndio nakufahamisha.Coutinho angekuja Real Madrid angekaa bench mpaka limzoee. Awaulize wenzie.
 
Mna mchezaji better than coutinho kwa sasa????
 
Wadau mna karibishwa group la Real Madrid TZ, unaweza tupi no hapa nika kuadd
 
tofauti ya point kati ya madrid na timu inayojinusuru kushuka daraja timu ya alves ni points 17
 
Celta Virgo hao wanakuja kimbia...mara Valencia hawa...kuna uwezekano mkacheza Ueropa mwakani maana hamna kwakupumulia wala kutokea mara PSG hawa...
Zidane alidhani ni Al shaabab aliowafunga world club cup
Wewe hata uwezo wa kufikia kucheza na hao al shabab haukua nao!!
 
Back
Top Bottom