sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Ntawanyoosha sana awamu hii, Coutinho ndaniiii



Ntawanyoosha sana awamu hii, Coutinho ndaniiii![]()
![]()
Coutinho mchomekee kunako padri mcharo huyu apa chupi yake imetatuka nyuma
Sasahivi ni mwendo wa magoli tu.. Sergio kampa paulinho, paulinho kampa coutinho, coutinho kapiga pande ikamkuta king messi, king messi kafinya kisha kamwekea dembele, dembele kamchungulia Suarez....kamba *****....barca 4 madridiots 0......Tutafinya hawa mbwa hadi warudi kwa kennels zao ka juzi.....
Padri Mcharo kuja huku unaitwaCoutinho mchomekee kunako padri mcharo huyu apa chupi yake imetatuka nyuma
Take it easy, mlipotufunga supercup hatukupumua!Aisee Nyie watu ni wachokozi

Ushaweka hadi avatar!!!!!!....asee hucheleweshi mamboNtawanyoosha sana awamu hii, Coutinho ndaniiii![]()
![]()
Mapemaa, nawasubiri Real Kaoge tuUshaweka hadi avatar!!!!!!....asee hucheleweshi mambo
Aisee!!!! Kwa mwendo huo lazima wakaeMapemaa, nawasubiri Real Kaoge tu
Inamaana Marcelo na Ramos hamna aliyeangushwa hapo!! Angalia fresh mkuu🙂🙂🙂Sasahivi ni mwendo wa magoli tu.. Sergio kampa paulinho, paulinho kampa coutinho, coutinho kapiga pande ikamkuta king messi, king messi kafinya kisha kamwekea dembele, dembele kamchungulia Suarez....kamba *****....barca 4 madridiots 0......Tutafinya hawa mbwa hadi warudi kwa kennels zao ka juzi.....
Inamaana Marcelo na Ramos hamna aliyeangushwa hapo!! Angalia fresh mkuu🙂🙂🙂
Marcelo tayari