Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ronaldo anakosa magoli anacheza! Magoli yote yamepitia upande wa kushoto, Marcelo ndiye tatizo.

Ukiangalia goli la pili jamaa ana jog kurudi, yupo nyuma ya Kroos hajali!

[HASHTAG]#complacency[/HASHTAG]
 
Beki zimezingua sana pale kumuacha jamaa anaruka kwa kujinafasi peke yake.
 
Zizou plan hana tena wachezaji kama wamekosa morali hivi, Cr7 akae benchi awe anaingia dkk ya 80, Perez aende Tot kule aweke salio mezani amchukue Kane.
 
Beki zimezingua sana pale kumuacha jamaa anaruka kwa kujinafasi peke yake.

Man, goli la kwanza Ronaldo kapoteza possession, tukapigwa counter attack. Ile penalty, Ronaldo kapoteza possession tukapigwa counter attack. Goli la pili, Marcelo kapoteza possession, Nacho hakuwepo uwanjani, mtu kapiga kichwa mbele yake
 
Yaani sielewe ile pace iliyokuwepo msimu uliopita imekwenda wapi. Wakati muafaka wa Perez kutocheka na hawa watu kuanzia Kocha mpaka mfagiaji.
 
Huyu Ronaldo ni mzigo, the truth must be told. Mipira mingi inakufa miguuni mwake, kisha midfielders na beki zinaumia. Mara moja sio mbaya lakini dakika zote 90 kweli? Bora aende tu.
 
Huu unafki kwamba tulibebwa ile mechi? ulitazama mpira au kusimuliwa.
Me n madridista ila ile game eeeh,,, uliona magoli aliyofunga Ronaldo, uliangalia speech ya Zizzou baada ya ile mechi aliongea nn......Embu pitia tena alaf uje uthibitishe huo unafk hapa mkuu
 
Back
Top Bottom