January hii apa tuna fanya usajiri tuna fukia mapengo mwendo mdundo ktk miaka zaid ya kumi hatuja wahi kua na team bora zaidi ya hii Benz asepe zake ila kwa Zizu bado cja kubaliana na ww makosa mengine cio ya coach ni mchezaji binafisi na bahati pia jana tume gonga besela mara tatu kumbuka
Pambana na hali yako mama, kwn team yako haina thread JF? kinacho kuleta huku n nn.
Halafu sijui kwanini wanapiga cross,mbona flanks za Barca zinaingia na mpira mpaka ndani ya 18-na ku cut back mpiraMbinu zimewaishia!!!!!!
Hii man to man marking mara ya mwisho cjui niliona inatumika wapi
Huu ni uoga wa hali ya juu
Hawa majamaa wanasingizia wamechoka eti mechi nyingi!!!! Mechi nyingi zipi hizo walizocheza?? Last season uefa tumeshiriki wote,la liga hata copa der ley walilotolewa asubuhi kbs
Haya walifika fainali ,mbona juve hajateteleka bado??? Au yeye aliruka tu akakutana nao????
Madridiots hawataki kukubali ukweli kuwa this season washakabwa koo.Timu zishawasoma na makrosi yao
Eti wanalalamika wanataka kunyanyua kwapa!!!!!!
MADRI[emoji240] [emoji240] [emoji240] [emoji240] [emoji240] [emoji240]
Avatar yako tu inaonyesha what kind of a person you arePambana na hali yako mama, kwn team yako haina thread JF? kinacho kuleta huku n nn.
Makrosi ndo mbinu yao hawaHalafu sijui kwanini wanapiga cross,mbona flanks za Barca zinaingia na mpira mpaka ndani ya 18-na ku cut back mpira
ungepambanana na ya kwenu IngependezaAvatar yako tu inaonyesha what kind of a person you are
Naona unafurahia tu jibu nikujibu baina yetu. Sijaona pointi kutoka kwako yakueleweka. Kiufupi huna hoja
Sawaungepambanana na ya kwenu Ingependeza
Huyu mjusi@salamander ndio kakimbia kabisa-Captain gani huyu ana abandon a sinking ship!!!Wamenyamaza kimyax2
Mbappe amekiri kwamba alifanya mazungumzo na Real Madrid wakati wa usajili
Wazee wa makrosi mpo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]