Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The King will be back,
3F8E4D0700000578-4439690-image-a-5_1493032682636.jpg

41fa52c432ddfb5f38e53e938946dd66.jpg
 
Lacking creativity and finishing upfront and intensity in defence cost us the game. May be Bale should have started earlier. Benzema should have rested. Just 1 header from our strikers and look how Suarez played. That was the difference which actually helped Catalans to win the game.
 
Leo wakulaumiwa ni Zizu tu na akiendelea hivi hana muda mrefu pale Bernabeu.

Timu ilianza vizuri japo Benz hakutakiwa kuanza ila alijitahidi. Bado sielewi kwanini alimtaka Kovavic afanye man marking kwa Messi 2nd half! Hii Man marking created a vacuum in the mid ndo ikawapa Barca control ya game ila pia kuanzia kipindi cha pili ilibidi Asensio aingie na Benz atoke.

Zizu kazingua sana, tujiandae kutoka kapa.
 
And my Christmas holiday just got ruined really soon .

Sasa psg si itakua mvua ya magoli kwa style hiii.
 
Tuna shida kubwa sana. Hasa forward line yetu ikichangiwa kwa kiasi kikubwa na Benzema. Kuna wakati Zizou anapaswa kuwaamin vijana zaidi kuliko kukomaa na wakongwe muda mrefu.
 
Back
Top Bottom