pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Refa siyo wakutegemea *****....
Refa siyo wakutegemea *****....
Weekend na Christmas ishakuwa mbayaWe can't score goals Tall, na hili tatizo lipo kwa muda mrefu na ndio maana tunapoteza mechi nyingi. Tunafanya attempt nyingi lakini zote ni scoreless. Inshort, hatuna forward wa kutisha, wanategemea uzoefu tu. Na hili lipo tangu enzi za Ancelotti, lakini nashangaa sijui kwanini hawalioni hili. Yaani mpaka mabeki wakafunge, forward wapo kushika vichwa tu. Inauma sana kufungwa na hawa watu.
Unachokisema ni sahihi kabisa....huwez kuwa na washambuliaji uliowanunua toka miaka ya 2007 utegemee wataendelea kuwa na makali yale yale...mtu kama benzema hata benchi anatakiwa asikae...kuna wakat nlisema tunamuachaje Morata aende Juve wakat ni mzuri...akarudishwa,akawa anasugua benchi ila akiingia anafunga....benzema anafuga ndevu tu *****...kuna washambuliaji wazuri tena wana ndoto zakuchezea madrid...kuna yule dogo wa dortmund anaitwa Pierre...***** zidane anazingua na benzema wake,halafu mtu kama bale ambaye ana chumba hospital kabisa unaendeleaje kumshikilia wakat hata soko lake limeisha...We can't score goals Tall, na hili tatizo lipo kwa muda mrefu na ndio maana tunapoteza mechi nyingi. Tunafanya attempt nyingi lakini zote ni scoreless. Inshort, hatuna forward wa kutisha, wanategemea uzoefu tu. Na hili lipo tangu enzi za Ancelotti, lakini nashangaa sijui kwanini hawalioni hili. Yaani mpaka mabeki wakafunge, forward wapo kushika vichwa tu. Inauma sana kufungwa na hawa watu.
Asee matusi diaba pointi kisodaUnachokisema ni sahihi kabisa....huwez kuwa na washambuliaji uliowanunua toka miaka ya 2007 utegemee wataendelea kuwa na makali yale yale...mtu kama benzema hata benchi anatakiwa asikae...kuna wakat nlisema tunamuachaje Morata aende Juve wakat ni mzuri...akarudishwa,akawa anasugua benchi ila akiingia anafunga....benzema anafuga ndevu tu *****...kuna washambuliaji wazuri tena wana ndoto zakuchezea madrid...kuna yule dogo wa dortmund anaitwa Pierre...***** zidane anazingua na benzema wake,halafu mtu kama bale ambaye ana chumba hospital kabisa unaendeleaje kumshikilia wakat hata soko lake limeisha...

Msijali sisi Barca tutafungwa makusudi,ili mtufikie point alaafu tuanza kugombea point upya. Mjini kumetulia sasa angekuwepo dembele,umtiti si tungewapiga mkono-mazafantazz