Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Loo, what a miss, Ronaldo ameshindwa kutupa goli la uongozi.,
Namimi nakuona vile usiondoke endelea kuiangalia timu yakoKama ninakuona unavyochungulia kwa mbali, endelea kulia


hii game ilitakiwa vijana washinde confidence irudibeki leo ndio zimepoteana vibaya, afadhali safu ya ushambuliaji wanafanya yao
Vp bado ulikuwa unachungulia!? ama ulikimbia? Ndio kwanza Safar inaanza , tukutane huko kwenye makundi,Namimi nakuona vile usiondoke endelea kuiangalia timu yako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aubameyang hatrick hii isikukose
Tia haya majinga kbs
Unayatiaga moja moja sasa leo tia tatu kabisa vibonde hawa
Piga hilo pazia kabisa wanaanza kulilia players wa watu
Kudadeki zenu ulaya si ya baba yenu!!!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Nilipenda sana vijana walivyokuwa wanajituma dk za mwisho kutafuta goli la ushindi, Hiyo ndio Real Madrid ninayoijua, hasta el final, kijana aliona atuonjeshee vijana wetu wa baadae, just few touches hii team itakua moto sana.,hii game ilitakiwa vijana washinde confidence irudi
Dahh...much worries than ever...Training | The squad completed the third session of the week at Real Madrid City and began preparing for the league match against Sevilla, which will be played this Saturday at the Santiago Bernabéu stadium (4:15pm CET).
![]()
![]()

Real Madrid city??!!!!!!!!??!!Training | The squad completed the third session of the week at Real Madrid City and began preparing for the league match against Sevilla, which will be played this Saturday at the Santiago Bernabéu stadium (4:15pm CET).
![]()
![]()

Real Madrid city??!!!!!!!!??!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huko ni kuchanganyikiwa kwa hali ya juu![]()
![]()
![]()
sent using my xm udongo using jf mobile app
Mmmh nyie majirani nyie!!!Real Madrid City (Ciudad Real Madrid) is the name given to Real Madrid's training facilities located outside Madrid in Valdebebas
Teams Real Madrid might face in the 1/8 :
- Manchester United![]()
- Manchester City![]()
- Liverpool![]()
- PSG![]()
- Roma![]()
- Besiktas![]()