Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Kelele za chura hizi. Mwaka jana mlichongaa mkaishia kunyamazishwa kwa back to back ambayo haitokuja kutokea kwenu daima.UEFA ipi?? ..huu ni msimu wa njaa kwenu aisee
Cr7 mpira umeanza kwisha. .bale naye hamna kitu kwa sasa ...Messi ana goli zake tatu apo Santiago
