Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Karibuni sana muwe kama wanaume siyo kidogo tu mnakimbia mnabaki kuchungulia mpinzani kaharibu ndiyo mjitokeze.
Bora hata Red Giant huwa anajitokeza wengine mpo kama mbwa koko ukishtuliwa unaufyata.
 
Haiwezekani hata siku moja Timu inayotegemea Mashoga wakupe matokeo mazuri, Shoga CR7 baada ya kutoka Morocco akawa bado anau waruwaru akapotea kabisa kwenye mechi.....Hili litimu lishakufa tayari na nashauri Zidane atimuliwe tu na Timu ivunjwe tu
 
Hii thread mnaipenda itabidi tuibadili iwe ya barca maana kule kwenu hamna watu kabisa mnahamia huku.
 
Hiki kipigo kinauma sana....nina imani kitatuamsha...timu nzima ilikuwa kwenye utamu wakusign mikataba mipya bhana...wametuchafulia record yetu
Ndo mshapotea hivyo....la liga muisahau na msimu huu hakuna kombe
 
Reactions: PNC
Haiwezekani hata siku moja Timu inayotegemea Mashoga wakupe matokeo mazuri, Shoga CR7 baada ya kutoka Morocco akawa bado anau waruwaru akapotea kabisa kwenye mechi.....Hili litimu lishakufa tayari na nashauri Zidane atimuliwe tu na Timu ivunjwe tu
maneno yako ni dalili ya hio tabia
 
Laliga muisahau tu, na saizi Perez hana pesa za kuhonga teeena
 
Dont worry be happy "you win battles not petty wars" as you once said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…