pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Naona kabisa hawa jamaa tukiwapiga goli za mapema mapema....
Huyu refa kwa kumbukumbu zangu huwa hatuna bahati nae....
Hii ni penalty na ile jamaa ameshika wakt ronaldo amepiga kick bicycle...Penalty or No penalty?
![]()
Hii ni penalty na ile jamaa ameshika wakt ronaldo amepiga kick bicycle...
Acha kutoa sababu mkuuHuyu refa kwa kumbukumbu zangu huwa hatuna bahati nae....
Tunacheza vizur sana sehemu ya kiungo, tumecontrol hii game , tatizo vijana hawajatulia kwenye final third ya adui plus hazijapikwa nafasi nzuri za magoli, hope tutapata goli mapema kipnd cha pili.