pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Hiki kipigo kinauma sana....nina imani kitatuamsha...timu nzima ilikuwa kwenye utamu wakusign mikataba mipya bhana...wametuchafulia record yetu22 shots man, lakini hakuna goli.
Hiki kipigo kinauma sana....nina imani kitatuamsha...timu nzima ilikuwa kwenye utamu wakusign mikataba mipya bhana...wametuchafulia record yetu22 shots man, lakini hakuna goli.
HahahahhaaaaaaaAntonia sanabria anaipatia Betis goli dk ya 93 . 1-0
Ndio ukubwa huoPoleni sana mashabiki wa real Madrid kipigo kama hiki huwa kinauma sana, kimenifanya hadi nikumbuke mwezi wa nne messi alichowafanya hapo hapo bernabeu.