jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,689
yule drama queen atikise kiberiti anataka hela Zaidi,on this showing itabidi waampe incrementwakuu mtakuwa mmemmiss sana yule prima donna!
View attachment 584897
yule drama queen atikise kiberiti anataka hela Zaidi,on this showing itabidi waampe incrementwakuu mtakuwa mmemmiss sana yule prima donna!
View attachment 584897
Mnapenda matusi eeh? Pambaneni na nesi wenu hukoyule drama queen atikise kiberiti anataka hela Zaidi,on this showing itabidi waampe increment
Mourinho kataka kuwasaidia ku offload hilo garasa Bale,mmekataa-now you are paying the price
Hilo nalo neno..Mourinho kataka kuwasaidia ku offload hilo garasa Bale,mmekataa-now you are paying the price
hii mechi ya leo angekuwepo drama queen pale kati mngeshinda,Bale ni mzigo haubebeki chances zote zile mpaka kataka kupewa goal la offside lakini wapi
Kosa kubwa walilofanya Real Madrid ni kutotafuta replacement ya James na Morata msimu uliopita hawa jamaa walifunga jumla ya magoli 30 na ni wachezaji wazoefu tofauti na kina Asensio na Vasquez.Pia Zidane atajuta kuendelea kumbakisha Benzema badala ya Morata
Hakuna siku nikiyofurahi kama siku Madrid walipomuuza Di Maria na MorataMourinho kataka kuwasaidia ku offload hilo garasa Bale,mmekataa-now you are paying the price
Last season James & Morata walianza game chache game mlizotoka droo still walikuwa wanaanza BBC, msimu huu unaanza CR7 kafungiwa mechi 5 na Benzema tayari majeruhi huu ulikuwa wakati wa wachezaji kama Morata/James/Replacement wao kuanza.Nani ata-replace hayo magoli 30 waliyofunga msimu uliopita ?Wala hilo sio tatizo. Tulikuwa nao na bado tukatoa sare mechi 4 mfululizo mwaka jana mwezi kama huu. Kuna kipindi tu mambo yanagoma.
Last season James & Morata walianza game chache game mlizotoka droo still walikuwa wanaanza BBC, msimu huu unaanza CR7 kafungiwa mechi 5 na Benzema tayari majeruhi huu ulikuwa wakati wa wachezaji kama Morata/James/Replacement wao kuanza.Nani ata-replace hayo magoli 30 waliyofunga msimu uliopita ?
Mourinho kataka kuwasaidia ku offload hilo garasa Bale,mmekataa-now you are paying the price