Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mechi ya leo ni zidane kabugi kidogo kupanga starting IX.
 
Mahaba yetu kwa Madrid yasitufanye kutoiona fact ya kwamba tunakosa huduma za Morata na James,japo walikua wanakaa benchi lakini walitupa 30 goals,katika kipindi hichi ambacho Benzema kaumia,CR ana kadi na Bale haeleweki wangetusaidia sana

Morata na James ni historia hata ukiwataja leo aisadii kitu, ni sawa na kelele zilizopigwa baada ya Di Maria kuondoka. I still have a trust with the current squad, tunacheza vizuri na creating many chances.
 
Ndio maana nikasema mahaba yetu kwa Madrid….

Whatever you call it, lakini ninavyojua mimi James floped that's why he was a bench warmer. And I was no so much impressed by Morata since day one
 
Mimi ni muumini wa takwimu na facts mkuu,goli 30 walizofunga Morata na James last season tutazitoa wapi iwapo tumeuza bila kununua replacement ya uhakika?
Kwa Benzema na Bale hizo goli hazipo.
Any way tuna timu nzuri,nadhani january tutaongeza nguvu pia huu mzimu wa red card kila match utaondoka
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Whatever you call it, lakini ninavyojua mimi James floped that's why he was a bench warmer. And I was no so much impressed by Morata since day one
 
Msijitoe ufahamu.. Hatuna chetu mwaka huu kama ni kwa kutegemea Bale na Benzema. Morata na James walitusaidia sana last season hasa pale BBC ilipokuwa nje ya form. Our rivals wanazidi kutengeneza gap mpka kushtuka hatuwezi kuziba hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zizou kazingua sana kutoleta mbadala wa walioondoka.. Mafanikio tuliyopata yatakuwa si kitu mwaka huu kwa hii trend. Yaani hata Levante droo?

Mkuu bado ni mapema sana kuanza kutabiri, tuna team nzuri sana hilo sina wasi wasi nalo, ishu imekuwa ni tactical change aliyoifanya Zizou, kwa upande wangu sikuona sababu ya kumwanzisha Theo na Marcelo kwa pamoja, japokuwa hii sio sababu ya sisi kutoa droo,
Morata na James wameshakuwa story kwasasa, tatizo sio replacement , ishu ni kugawa playing time kwa kila mchezaji ndio sababu iliyomfanya Zizou asirudi sokoni, anawamini vijana wake hope wata deliver in no time.
 
Zizou kazingua sana kutoleta mbadala wa walioondoka.. Mafanikio tuliyopata yatakuwa si kitu mwaka huu kwa hii trend. Yaani hata Levante droo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mbadala upo Mkuu , CR7 ndio atakuwa anakipiga kama no. 9 , na upande was kiungo yupo Ceballos , huku Borja akichukua nafasi ya Mariano, bado hatuna shida sana kwenye squad yetu, tumeteleza tu mwanzo wa msimu plus red cards , so hatuko vibaya kihivyo, we'll bounce back . [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
football analyst yoyote atakwambia mzani umehamia pande ya pili

Real Madrid bado wanaupiga, kama analysis yako inatokana na matokeo dhidi ya mediocre Espanyol, you're lying yourself. Time will come utakimbia JF.
 
a7d0c2288a1d1446338f4c12ca27d6cf.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijitoe ufahamu.. Hatuna chetu mwaka huu kama ni kwa kutegemea Bale na Benzema. Morata na James walitusaidia sana last season hasa pale BBC ilipokuwa nje ya form. Our rivals wanazidi kutengeneza gap mpka kushtuka hatuwezi kuziba hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

No need to worry. BBC was out of form since the time of Ancelotti we ndio umewaona leo? Pamoja na Benzema na Bale kuwa na performance isiyoleweka lakini Morata na James walikuwa bench lakini tumebeba ndoo za kutosha. Ukisema msimu huu hatuna chetu huo ni mtazamo wako lakini mi siko na wewe
 
Butragueno: We didn't plan on this result
15049642986088.jpg

Real Madrid's director of institutional relations Emilio Butragueno admitted that he was shocked the club failed to pick up three points against Levante.

A Lucas Vazquez equaliser cancelled out an Ivi Lopez opener as Los Blancos dropped points at home for the second successive game.

"We had many chances but we just lacked that final pass and precision that we usually have for these games and occasions," Butragueno said.

"I do think that the team deserved to win though. We didn't expect this slip but that's football and you just have to pick yourself up and get on with it.

"On Wednesday, we have a big game in the Champions League and it is very important that the fans get behind us."
 
Zidane: We have to play better
15049631641132.jpg

Real Madrid coach Zinedine Zidane gave a frank assessment of his side after the 1-1 draw with Levante and admitted they had to do better.

Lucas Vazquez equalised after Levante went ahead and Marcelo was sent off late on.

"We cannot be happy with the game, now we are four points off the pace and we have to be worried," said Zidane.

"We need to find some solutions. We lacked a lot today in the game. The start is very important and we did not start well today.

"We faced a team that defended deeply and in these situations you have to show more. You need to score first but it was they who went ahead and that is what annoyed me most.

"However, we cannot go crazy and now we need to look ahead to the next game.

"It is not a physical problem as we showed in that we were better after the break. The problem was that we did not find ways to score."

He says that he will continue with his policy of rotations.

"I will not change this. After one bad game we cannot lose the plot and this is something I believe in," he said.

"This is the side that we have and we need to find solutions within the squad. Cristiano and Benzema were not there and we could not change that."

Back
Top Bottom