Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii interview iko youtube channel ya madrid so interesting ipo na ya asensio nafikiri

Hii ni tofauti. Iliyo kwenye channel ya Madrid ni mini documentaries zilizoandaliwa na Real Madrid Tv kuhusu wachezaji waliopo na waliowahi kuichezea Madrid, kikapu na soka. Kwenye documentary, wanahojiwa mpaka familia, marafiki, na watu wa karibu. Kwenye hiyo makala ni Marcelo peke yake.

Kuna yaliyoongelewa kwenye makala na hayapo kwenye documentary, na vice versa.
 
Training today.

DJHbdVhXoAAHUy5.jpg


DJHbZEiWsAA_bRt.jpg


DJHbgq7XgAAUiLx.jpg


DJHbMxKW4AAo-fz.jpg


DJHbHq4WsAAWFsB.jpg


DJHbECLWAAAo1Br.jpg


DJHa-M6XYAAg2Lg.jpg


DJHa-M3XgAE_pP2.jpg


 
Thinking about it, all the "villains" who've been at Madrid have left us with at least one great memory in the current squad. First term Perez signed Ramos, the leader of the squad. Ramon Thuglderon signed Marcelo, the sunshine of the squad. Mourinho signed Modric, need I explain what he brings? Benitez signed the beast Kovacic.
 
Screenshot_2017-09-09-04-19-56.png
kikosi iliyochukuliwa kwa ajili ya game ya kesho i thought ceballos alikuwa ana injury kumbe yupo swafi
 
Real Madrid XI vs Levante: Casilla; Carvajal, Nacho, Ramos, Theo Hernandez; Llorente, Kroos; Marcelo, Asensio, Lucas Vázquez; Benzema
 
Bad sijaelewa mantiki ya kumchezesha Marcelo na Theo kwa wakati mmoja, kama ninaona wanakosa ule uhuru wa kuattack, afadhali angebaki nje mmoja , then Isco ama Cebellos achieve nafasi ya mmoja wao.
 
Bad sijaelewa mantiki ya kumchezesha Marcelo na Theo kwa wakati mmoja, kama ninaona wanakosa ule uhuru wa kuattack, afadhali angebaki nje mmoja , then Isco ama Cebellos achieve nafasi ya mmoja wao.

Marcelo anacheza wing mkuu. Tatizo lililokuwepo ni tumukosa umakini wa umaliziaji tu
 
Marcelo anacheza wing mkuu. Tatizo lililokuwepo ni tumukosa umakini wa umaliziaji tu
Ni kweli anacheza wing lakini ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa zile move anazozianzisha akitegemea kuwa anaenda ku overlap ili amalizie kazi yake anakuta Theo tayari ameshapanda, so yeye inabid abaki nyuma,
Pia team ipo overcrowded wing ya kushoto,
 
Duu, sijui Leo ataokoa jahazi ni nani, muda unaenda na goli lenyew limekuwa la tabu kweli,
 
Back
Top Bottom