Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hahahahahhahaha...wale wakutafisri ishara za mdomo....messi na shakira wametukana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Ramos anafanya ugangwe ule na undava kama tupo uwanja wa kinesi ulitegemea Messi hata u captain domo umshinde? tena waweza kukuta alikuwa anaongea kwa upole "brother Ramos punguza basi ubabe tucheze soka "
 
20841848_1694903820534371_7330089623374808933_n.jpg
Hala Madrid [emoji146] Uefa 13 loading [emoji123]
 
Alishaandika Eddo kumwembe"Simpendi Ronaldo lakini nifanyeje"

Sent using Jamii Forums mobile app
Tushawazoea hao ukiwaambia wanakwambia eti "fanboy" tumeamua kuwaacha tu uzuri kila siku anawaonyesha kwa vitendo wao wamebaki na maneno tu....tupo hapa na cristiano ataendelea kubaki hata kama hawapendi perez ndio Boss sio sisi washabiki
 
Hapo unenena,wao wanaamini kale kajamaa ndo best,acha tushuhudie maajabu ya cr7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani leo tulivyowashika Barcelona
Casemiro badala ya kumkata Messi
Yeye ndio akawa anachezewa rafu mara avutwe na Suarez
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, ilikuwa kituko man, mambo yalienda kinyume, wanasema ukiona mtu mzima angalia ujue kuna jambo, Suarez sikumwelewa pale ama alitaka ampige meno kijana wa watu kama kawaida yake!?
 
Back
Top Bottom