Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #31,901








Hakika huyu kijana ni hazina kubwa pale dimba la kati analitendea haki ipasavyo,sioni timu ya kutusumbua msimu huu,na makombe karibia yote tutabeba.Zidane naona alielewa kazi ya kijana kova baada ya kumficha messi mfukoni
Absolutely fantastic!Kwa ubora wa kikosi chetu....sioni wakutuzuia kubeba UCL mara ya tatu msimu huuu....note my words guys....
Sent using Jamii Forums mobile app






