Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Kovacic ni Msala man, anauwezo mkumbwa sana, yaani nikiangalia viungo wetu mpaka niaogopa, Hapo kuna akina Valverde, Oscar Martin, Martin Odegaad wanagonga mlango na wao wanataka nafasi, haya mafanikio ndio kwanza yanaanza, na Bado tuna safari ndefu tuu.Hakika huyu kijana ni hazina kubwa pale dimba la kati analitendea haki ipasavyo,sioni timu ya kutusumbua msimu huu,na makombe karibia yote tutabeba.
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!