Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
The bond between Marcelo and Enzo....never seen.
Doooh...Ramos alipewa ruhusa maalum, anatakiwa kuripoti leo. Marcos Llorente, Vallejo, Asensio, Borja Mayoral, walikuwa na Spain U-21, kuripoti July 21. And our diva anatakiwa kuripoti August 2.
Ha ha ha huyo fala ana wivu na Cristiano ila ana mabwana zake akianza kuwatetea hutakiwi kumpinga.Doooh...
Kuwa na heshima basi japo kidogo madam...
Who's your Diva..?
Poleni kwa kuondokewa na morata