Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
The team wished Tramontane(Sergio Llull) a speedy recovery.
Bila shaka wanatafuta mchezaji bora na si mwenye mataji Mengi!.![]()
CR7 ana La Liga,Uefa,Super Cup huku akiwa mfungaji bora wa Uefa.
Buffon yeye ana taji la Seria A.
Messi hana taji lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe matumainiBila shaka wanatafuta mchezaji bora na si mwenye mataji Mengi!.
Hahahhahahahhahahahhaha.....sasa messi anaingiaje kwenye hizi tuzo wakat hakuna cha maana alichofanya msimu jana....hili ndo tatizo lakukariri wakamnyima tuzo iniesta au xavi mwaka ulee![]()
CR7 ana La Liga,Uefa,Super Cup huku akiwa mfungaji bora wa Uefa.
Buffon yeye ana taji la Seria A.
Messi hana taji lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app